Ndalichako na wanafunzi wake.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,080
6,913
f8c8a0318977ad34e06418d5f4a78962.jpg
 
Tulimpenda, tulimtegemea, tulimtumainia, lakini ametuangusha. Kumbe siyo "mama" ni mama wa "kambo". Ametubeba kwa mbeleko ya chuma, inatukatakata, inatuchuna mwili!
Utafurahi akiachia ngazi.
 
Kaniharibia future ya mwanangu. Eti hatambui Diploma kujiunga shahada! Yaani hii wizara kila waziri huja na mapepo yake!
 
Zombie reject katika ubora wake .......Akashtaki kwa Dr Manyau nyau....
 
Back
Top Bottom