Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Yule mama anahusika moja kwa moja na kufeli kwa wingi waliomaliza form four, ilitakiwa aondoke tokea wakati ule wa sakata la Islamic Knowledge jibu lake amelitoa kwenye matokeo ya mitihani ya form four mwaka huu.
Inaonyesha kuwa hayuko peke yake, ni mtandao mpana unaochukua maagizo sehemu fulani afuatiliwe na kila kitu kiwekwe hadharani kama kweli kunatakikana suluhisho la kudumu kuhusu hili tatizo.
hivi mnafikiri matokeo kwa ferefence ya islamic knowledge mwaka jana yameathiri watoto wa kiislam na ndio mazoea au mkakati wa ndalichako? bora ya nyie mmepata pa kumshikia, kwa taarifa yako kuna watoto wa dini nyingine wenye uwezo mkubwa tu, lakini wamekuwa wakifeli au kufelishwa. na hawana jinsi ya kulalamika wakasikilizwa na wakiapeel matokeo yanarudi vile vile, wakireset ndio kabisa ni mradi. kuna uozo huko ambao hauratibiwi na mtu mmoja, wahusika wote/wadau wanajua wanachokifanya.
mara waalimu wanalipwa kidogo hivyo hawasahishi kwa umakini, mara watoto wabadilishiwe matokeo, mara wengine wanakuwa rewarded hata masomo ambayo hawakufanya. wanafunzi wenye matatizo wapo lakini matatizo wanayocourse wahusika na uratibu wa mitihani na masahihisho ni makubwa zaidi.
mind you hawafanyi hayo makosa kwenye shule zenye majina, maana wanajua wataumbuka. usahishaji mbaya na ubadilishaji wa alama ni kwa shule zisizo na majina tu, japo huko kuna wanafunzi wanajipinda ili watoke, lakini ndio wanadidimizwa zaidi.