Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa.
Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa.
"Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa Tanzania, vijana wawe na tija kwa taifa, vijana wasiwe mzigo kwa Taifa" Dr. Emanuel Nchimbi, Katibu mkuu CCM