Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,524
Sijaona kipya kwenye post yako mkuu,wewe unataka polisi wakae na kucheka na watu ambao ni waharifu hayo mawazo yako siyo varid pengine na wewe ni miongoni mwa hawa wachochezi kwa nini hujasema chochote juu wanasiasa waliochochea na wale wanaofanya hizo vurugu,acha mambo ya ajabu.Ukitaka kujua jeshi la polisi lina weledi kiasi gani angalai linavyofanya kazi wakati wa vurugu, dharura, au pale ambapo mmojawao anaumizwa. Mambo ambayo yanadaiwa kufanywa na Jeshi la Polisi na wale wa JWTZ dhidi ya wananchi ni mambo yanayoita watu kuwajibishwa.
Kwamba kuna nyumba zimechomwa na polisi wametoa adhabu ya jumla (collective punishment) wakiingia kwenye majumba ya watu na kusababisha hali ya hofu kwa wananchi badala ya kuonesha weledi na amani toka mwanzo - kwani jambo hili lilijulikana kabla!
Tumeshasema mara nyingi huko nyuma wengine wanaobebwa hawabebeki... Wasije kudhania kuwa kulazimisha amani kwa nguvu namna hii kunawafanya watu wageuka na kuwapenda zaidi... wanachofanya wao wenyewe wanazidi kupandikiza chuki, sumu ya chuki inanyonywa na watoto katika matiti ya mama zao...
Binafsi sielewi kabisa kwanini Nchimbi ni Waziri! I have never understood kwanini ameendelea kuwa Waziri licha ya kuboronga wizara zote alizopitia.. kitu pekee alichowahi kuwa mzuri kwacho (kama naweza kusifikia) ni kuwa Katibu ya Umoja wa Vijana wa CCM... nje ya hapo sijui! KUhusu Mwema ndio wala sitaki ksuema maana nishasema vya kutosha... ingekuwa nchi nyingine angetimuliwa miaka minne nyuma... !
Vuai bado sijajua maana ningependa kusikia kauli yake ya kuhusika kwa JWTZ katika kadhia iliyotokea Mtwara.
Ukitaka kujua jeshi la polisi lina weledi kiasi gani angalai linavyofanya kazi wakati wa vurugu, dharura, au pale ambapo mmojawao anaumizwa. Mambo ambayo yanadaiwa kufanywa na Jeshi la Polisi na wale wa JWTZ dhidi ya wananchi ni mambo yanayoita watu kuwajibishwa.

Hao jamaa hawawezi kujiuzulu maana wakiwajibika hata JK naye ana dual responsibility kwa wananchi na kwa matendo ya wateuliwa wake naye atatakiwa kuwajibika. Tanzania viongozi hawawezi kuwajibika kwa kuwa uongozi wao unaongozwa na mood ya mtu atakayokuwa nayo siku ya tukio, hatutumii weledi na kanuni na kiuongozi.
Tuache kushabikia ujinga......vurugu za mtwara wale ni wajinga wananch wenye Akili hawez kufanya mambo ya ajabu kama yale ni bora wangekufa Raia mia kuliko kupoteza Mwanajeshi wetu Mmoja.