johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Nchimbi, Mkono na Kibajaji wamezuiwa getini wasiingie mkutanoni kisa hawana vitambulisho. Baada ya tafrani ya takribani robo saa wajumbe hao wameruhusiwa kuingia.
Chanzo: Wapo radio kutoka nje ya ukumbi Dodoma.
Chanzo: Wapo radio kutoka nje ya ukumbi Dodoma.