Nchimbi, Mkono, Kibajaji wazuiwa H/Kuu

Nchimbi, Mkono, Kibajaji wazuiwa H/Kuu

Ugali ushamwagwa bado sahani ya mboga ipo mikononi mwa lowasa

Jk yote kayajua na yupo tayari hata kuwakabidhi nchi akina Slaa kuliko Lowassa. Nguvu ya Lowassa ni kubwa sana na Jk analijua hilo na yupo tayari kwa hali yoyote
 
Leo kuna watu watapigwa risasi na usalama wa ccm..watakuja maninja wamefunika nyuso zao..
 
ngoma mpaka sasa bao ni moja bila na timu ya upande wa pili (iliyofungwa) ndo kwanza wamepata penati na ishatengwa tayari kwa kupigwa...... lets wait sijui itaishaje hii mechi
 
Jk yote kayajua na yupo tayari hata kuwakabidhi nchi akina Slaa kuliko Lowassa. Nguvu ya Lowassa ni kubwa sana na Jk analijua hilo na yupo tayari kwa hali yoyote

Nivizuri akakabidhi nchi kwa ukawa kwa amani
 
Sasa Uyu Mamvi Anasubiri Nini...

Kwa Kweli Leo Si Siku Ya Kukaa Mbali Na Chombo Cha Taarifa

Mkuu kama wewe ni mwana ccm inabidi husisogelee tv maana unaweza ukaitandika na kitu chenye ncha kali hivyo ukapata hasara
 
Back
Top Bottom