Nchimbi ameanza kwa kuwadanganya uongo mkubwa CCM!

Katibu mkuu wa CCM katika hotuba yake ya kwanza pamoja na mengi aliyosema amesema huko Marekani vyama vya Republicans na Democrats huwa vinawapitisha Marais bila kuwashindanisha katika kura za ushindani za vyama kugombea muhula wa pili wa kipindi cha urais. Ameenda mbali zaidi sana akisema huo ni ujinga ambao vyama Wamarekani waliachana nao tangu miaka ya 1980.

Nchimbi amedanganya, ukweli ni kwamba Marais wote wa Marekani walipogombea kipindi cha pili urais walishindanishwa katika vyama vyao

1.Mwaka 1984 Rais wa Marekani wa kipindi hicho katika chama chake alishindanishwa na Harold Stassen pamoja na Ben Fernandez.

2.Goerge H.W Bush mwaka 1992 akigombea mara ya pili uraia alishindanishwa na chama chake na wagombea watano mpinzani mkali na maarufu zaidi akiwa Pat Buchanan.

3.Mwaka 1996 Bill Clinton alishindanushwa na LaRouche na wagombea wengi wengi wasio maarufu katika kipindi cha pili kugombea urais.

4. Mwaka 2004 Bush alishindanishwa na wagombea wengi wadogo wasio maarufu kama John Buchanan,Jack Fellure n.k

5. Mwaka 2012 Obama akigombea mara ya pili alishindanishwa katika chama chake na wagombea kama John Wolfe, Jr na Darcy Richardson

6. Mwaka 2020 Trump akigombea mara ya pili alishindana katika chama chake na Bill Weld

Kingine ambacho Nchimbi hakusema ni kwamba kimsingi uchaguzi wa nafasi ya mgombea urais katika vyama vya Marekani inafanyika katika majimbo na sio sehemu moja kama hapa kwetu Dodoma au Dar.
Huko Lazima mgombea ashinde kwa wingi(zaidi ya nusu) ya wa wajumbe katika majimbo na kura lazima zipigwe kabla ya kuidhinishwa na kamati za vyama kitaifa.

Jambo lingine ni kwamba Nchimbi alikuwa akishangiliwa karibu na watu wote wakati anatoa historia ya uongo kuhusu uchaguzi wa Marekani.
Bado tunawaza kudanganyana ilihali kila kitu kipo within our fingers ??!!
Kweli hii Nchi ni ngumu sana !!
Mimi hata nikitaka kula kwanza naingia Google kuulizia 😂😂🤣🙏
 
Nchimbi naye na bashite aliechangamka
 
Ndio maana mimi nilisema kuwa waliompa hiko cheo, hawajampa kwa kumpenda, bali ni mtego kwake ili ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe. Bahati mbaya kaanza mapema kabisa kujikaanga.
 
Katibu mkuu wa CCM katika hotuba yake ya kwanza pamoja na mengi aliyosema amesema huko Marekani vyama vya Republicans na Democrats huwa vinawapitisha Marais bila kuwashindanisha katika kura za ushindani za vyama kugombea muhula wa pili wa kipindi cha urais. Ameenda mbali zaidi sana akisema huo ni ujinga ambao vyama Wamarekani waliachana nao tangu miaka ya 1980.

Nchimbi amedanganya, ukweli ni kwamba Marais wote wa Marekani walipogombea kipindi cha pili urais walishindanishwa katika vyama vyao

1.Mwaka 1984 Rais wa Marekani wa kipindi hicho katika chama chake alishindanishwa na Harold Stassen pamoja na Ben Fernandez.

2.Goerge H.W Bush mwaka 1992 akigombea mara ya pili uraia alishindanishwa na chama chake na wagombea watano mpinzani mkali na maarufu zaidi akiwa Pat Buchanan.

3.Mwaka 1996 Bill Clinton alishindanushwa na LaRouche na wagombea wengi wengi wasio maarufu katika kipindi cha pili kugombea urais.

4. Mwaka 2004 Bush alishindanishwa na wagombea wengi wadogo wasio maarufu kama John Buchanan,Jack Fellure n.k

5. Mwaka 2012 Obama akigombea mara ya pili alishindanishwa katika chama chake na wagombea kama John Wolfe, Jr na Darcy Richardson

6. Mwaka 2020 Trump akigombea mara ya pili alishindana katika chama chake na Bill Weld

Kingine ambacho Nchimbi hakusema ni kwamba kimsingi uchaguzi wa nafasi ya mgombea urais katika vyama vya Marekani inafanyika katika majimbo na sio sehemu moja kama hapa kwetu Dodoma au Dar.
Huko Lazima mgombea ashinde kwa wingi(zaidi ya nusu) ya wa wajumbe katika majimbo na kura lazima zipigwe kabla ya kuidhinishwa na kamati za vyama kitaifa.

Jambo lingine ni kwamba Nchimbi alikuwa akishangiliwa karibu na watu wote wakati anatoa historia ya uongo kuhusu uchaguzi wa Marekani.
Wanasemaga Siasa ni uongo unao fananafanana na ukweli !!
 
Shida siyo CCM kukubali uongo,shida ni kuwa taarifa imerushwa kwenye vyombo vya habari na inawafikia wengi.

Sasa Kuna shida gani taarifa ikiwafikia? Si ndio mambo ya ccm au wewe unaumia na nini hasa yanapohusika masuala ya ccm?

Kama una utaratibu mwingine kafanyie kwenye chama kingine
 
Wale washangiliaji si ndio wale makabwela wa mtama Kwa nyapu wanaolalaga blnjiani nyapu apite
 
Katibu mkuu wa CCM katika hotuba yake ya kwanza pamoja na mengi aliyosema amesema huko Marekani vyama vya Republicans na Democrats huwa vinawapitisha Marais bila kuwashindanisha katika kura za ushindani za vyama kugombea muhula wa pili wa kipindi cha urais. Ameenda mbali zaidi sana akisema huo ni ujinga ambao vyama Wamarekani waliachana nao tangu miaka ya 1980.

Nchimbi amedanganya, ukweli ni kwamba Marais wote wa Marekani walipogombea kipindi cha pili urais walishindanishwa katika vyama vyao

1.Mwaka 1984 Rais wa Marekani wa kipindi hicho katika chama chake alishindanishwa na Harold Stassen pamoja na Ben Fernandez.

2.Goerge H.W Bush mwaka 1992 akigombea mara ya pili uraia alishindanishwa na chama chake na wagombea watano mpinzani mkali na maarufu zaidi akiwa Pat Buchanan.

3.Mwaka 1996 Bill Clinton alishindanushwa na LaRouche na wagombea wengi wengi wasio maarufu katika kipindi cha pili kugombea urais.

4. Mwaka 2004 Bush alishindanishwa na wagombea wengi wadogo wasio maarufu kama John Buchanan,Jack Fellure n.k

5. Mwaka 2012 Obama akigombea mara ya pili alishindanishwa katika chama chake na wagombea kama John Wolfe, Jr na Darcy Richardson

6. Mwaka 2020 Trump akigombea mara ya pili alishindana katika chama chake na Bill Weld

Kingine ambacho Nchimbi hakusema ni kwamba kimsingi uchaguzi wa nafasi ya mgombea urais katika vyama vya Marekani inafanyika katika majimbo na sio sehemu moja kama hapa kwetu Dodoma au Dar.
Huko Lazima mgombea ashinde kwa wingi(zaidi ya nusu) ya wa wajumbe katika majimbo na kura lazima zipigwe kabla ya kuidhinishwa na kamati za vyama kitaifa.

Jambo lingine ni kwamba Nchimbi alikuwa akishangiliwa karibu na watu wote wakati anatoa historia ya uongo kuhusu uchaguzi wa Marekani.
CCM ni kiwanda cha uongo
 
Katibu mkuu wa CCM katika hotuba yake ya kwanza pamoja na mengi aliyosema amesema huko Marekani vyama vya Republicans na Democrats huwa vinawapitisha Marais bila kuwashindanisha katika kura za ushindani za vyama kugombea muhula wa pili wa kipindi cha urais.

Ameenda mbali zaidi sana akisema huo ni ujinga ambao vyama Wamarekani waliachana nao tangu miaka ya 1980.

Nchimbi amedanganya, ukweli ni kwamba Marais wote wa Marekani walipogombea kipindi cha pili urais walishindanishwa katika vyama vyao

1. Mwaka 1984 Rais wa Marekani wa kipindi hicho katika chama chake alishindanishwa na Harold Stassen pamoja na Ben Fernandez.

2. Goerge H.W Bush mwaka 1992 akigombea mara ya pili urais alishindanishwa na chama chake na wagombea watano mpinzani mkali na maarufu zaidi akiwa Pat Buchanan.

3. Mwaka 1996 Bill Clinton alishindanishwa na LaRouche na wagombea wengi wengi wasio maarufu katika kipindi cha pili kugombea urais.

4. Mwaka 2004 Bush alishindanishwa na wagombea wengi wadogo wasio maarufu kama John Buchanan, Jack Fellure n.k

Hao walikuwa wanashangilia kama wamekuwa programed, lakini ikitokea ukawauliza walikuwa wanashangilia nini, utakuta hawajui chochote.
 
Nchimbi hana akili kama wanachama wake
 
Back
Top Bottom