Zambia ilitakiwa iwe No. 2 hapo! Ni wanywaji hatariiiKwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni..
1. South Africa
2. Gabon
3. Namibia
4. Nigeria
5. Uganda
6. Rwanda
7. Burundi
8. Sierra Leone
9. Botswana
10. Tanzania.
Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni..
1. Tusker lager
2. Kasupreko drinks
3. Castle lager
5. Star beer
6. Windhoek lager
7. Chibuku.
Bongo kwa nyakati hizi nadhani hizi.." ngumu kumeza, Rahisi kulewa" ndo zitakua zinakimbiza. Kitoko, double Kiki, smart gin. etc.
Kenya haimo halafu tusker imo ,what a bomboclaatLoh kenya hawapo humo na Zambia
Ni jambo la kushangaza sana...hapa naona wakenya wa ki potray kua inchi yao sio walevi ila bia yao ni famous..Kenya haimo halafu tusker imo ,what a bomboclaat
AiseeZambia ni no 1. Mbona haiko?
Zambia wanapenda pombe ila hawawezi kuizidi SA yaani kiwango cha pombe zinazonyweka Gauteng province huwezi kufananisha na Zambia yote wahuni wanakunywa pombe hawa acheni masihara yenu Ramaphosa anaaumua kufungua ma bar kwa sababu wanakosa mapato na anatamka kabisa serikali inapata mapato makubwa kupitia Pombe...Uwongo uliopitiliza!
Zambia is supposed to be number ONE!
NakaziaKenya na Zambia bila kuwaona juu basi hii list ni fake
kwakina KHUMBU, tako mning'inio.Huko South Africa sipati picha
MalawiKwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni..
1. South Africa
2. Gabon
3. Namibia
4. Nigeria
5. Uganda
6. Rwanda
7. Burundi
8. Sierra Leone
9. Botswana
10. Tanzania.
Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni:
1. Tusker lager
2. Kasupreko drinks
3. Castle lager
5. Star beer
6. Windhoek lager
7. Chibuku.
Bongo kwa nyakati hizi nadhani hizi.." ngumu kumeza, Rahisi kulewa" ndo zitakua zinakimbiza. Kitoko, double Kiki, smart gin. etc.
Kwani uongo sasa?Aisee
Sipati picha hiyo nchi ilioshika namba moja wanakunywaje pombe,maana zinavyonyweka huku kwetu nilijua angalau tungekuwa no.2...Yan kumbe sisi hatunywi pombe basi,kama mitaani huku watu kibao wanakunywa hadi wanatambaa kama nyoka kwa sababu ya pombe tu, loo salalee na bado tupo wa kumi kumbe sisi tunaonja tu hatunywi...naona kama hii list ina walakini kuna nchi flani hazijatajwa.hahahh