Nchi zinazoongoza kwa janga la UKIMWI

Nchi zinazoongoza kwa janga la UKIMWI

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
8,633
Reaction score
16,601
Swaziland: 27.2%
South Africa: 18.9%
Zimbabwe: 13.5%
Kenya: 5.4%
Nigeria: 2.9%
Brazil: 0.6%
Indonesia: 0.4%
France: 0.4%
Argentina: 0.4%
India: 0.3%
Italy: 0.3%
Sweden: 0.2%
Ireland: 0.2%
Australia: 0.1%
Pakistan: 0.1%

(WHO)

Hii takwimu imetolewa na WHO, Je ni sawa kuwa waafrika tunaongoza au ni propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sioni kazi ya condomu kwetu kama ni hivyo labda kama ni kwa ajili ya kuzuia mimba na magonjwa mengine ya zinaa
 
Swaziland: 27.2%
South Africa: 18.9%
Zimbabwe: 13.5%
Kenya: 5.4%
Nigeria: 2.9%
Brazil: 0.6%
Indonesia: 0.4%
France: 0.4%
Argentina: 0.4%
India: 0.3%
Italy: 0.3%
Sweden: 0.2%
Ireland: 0.2%
Australia: 0.1%
Pakistan: 0.1%

(WHO)

Hii takwimu imetolewa na WHO, Je ni sawa kuwa waafrika tunaongoza au ni propaganda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania 4% hapo ikowapi au ndio umeandika nyuzi kujifurahisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi takwimu ni za mwaka gani mkuu...angalia isije kuwa tango porii!
 
Eswatini mbona ina population ndogo sana sidhani kama wanazidi 2M !
Nalog off
 
Botswana, Bongo, Uganda hazipo??🧐

Hizi takwimu hizi, kama vile za HATUWEZI...siyo WHO


Everyday is Saturday....................😎
 
HIZI TAKWIMU HAZIPO SAHIHI MI KWA MUDA MREFU NIMEHUSIKA NA KAZI ZINAZOHUSIANA NA UKIMWI KWA MUDA MREFU HIZI TAKWIMU NI ZA KUPIKA NA KAMA KWELI ZIMETOKA HUKO WHO LABDA KUNA AGENDA YA SIRI VINGINEVYO ALIYEITOA HII ALIKUWA NDANI YA PIPA LA GONGO.
 
Sasa nani wa kuaminiwa hapa kuna watu wanazipinga hadi hizo data za WHO inamaana nao wanadata za ukweli kushinda hizi za WHO au maana naona comments nyingi azikubaliani na hizi data nani mkweli na tumuamini sasa 🤷‍♂️
 
Back
Top Bottom