Nchi zinazominya demokrasia ziwekee vikwazo vya silaha ikiwemo kutouziwa mabomu ya machozi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,858
Huu ni ushauri kwa Jumuiya ya Kimataifa maana hizi silaha ndio wanazotumia kunyanyasa,kutesa na hata kuua wapinzani na wanaharakati wengine wanaowapinga.

Waacheni watumie mbinu zingine lakini sio hizi silaha kutoka nchi wanachama maana inakuwa haina maana kuwanyima misaada na wakati huo huo mnawauzi silaha wanazoenda kutumia kuminya demokrasia.

Kikubwa hapa ni kutowauzia mabomu ya machozi na magari ya washawasha hasa pale nchi hizo zinapokaribia kufanya uchaguzi.
 
Usipowauzia mabomu ya machozi, watatumia Silaha za moto!, wanapenda kutawala zaidi kuliko kitu chochote.
 
Kuna nchi ngapi duniani ambazo hakuna uminyaji wa demokrasia?
 
Back
Top Bottom