BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
ni kweli ni porojo.Izo ni porojo tupu
Tunashukuru kwa taarifa,ila kwa taarifa rasimi ambazo hata mimi nina uhakika nazo ni hivi asikari aliyeajilwa pale USA mwaka wa kwanza anapokea dola 64,000/=hapo ni mshahara,bima na malupulupu mengine ya msingi,hiyo pesa ni nje ya chakula,huo ulikuw ni mwaka 2014 sjui kwa sasa itakuwa dola ngapi,ndo Taifa linalolipa vixur asikari wake kuliko Taifa lolote Duniani,naongezea tu kukutaarifu kuwa USA ndo Taifa pekee ambalo Wastaafu wootee wa kesho wameundiwa Wizara yao,,WIZARA YA WASTAAFU WA JESHI,hiyo ni kwa ajili ya kusolve matatzo na changamoto zootee za wastaafu wa kijeshi,Kwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii
Australia - private anapokea Milioni 6 kwa mwezi
"Sajenti" anapokea Milioni 9 kwa mwezi
Canada - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
Sajenti anapokea milioni 10 kwa mwezi
Lutenant anapokea milioni 6 kwa mwezi
Ireland - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
sajenti anapokea milioni 7 kwa mwezi
lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi
NewZealand -private anapokea milioni 6 kwa mwezi
- sajenti anapokea milioni 9 kwa mwezi
- lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi.
UK(UINGEREZA)- private - milioni 4 kwa mwezi
-sajenti - milioni 8 kwa mwezi
- lutenant - milioni 8 kwa mwezi
USA - Private - milioni 4 kwa mwezi
- sajenti - milioni 5 kwa mwezi
- lutenant - milioni 7 kwa mwezi
Hapa hapajawekwa yafuatayo ambayo ni LAZIMA
* bonuses
*benefits
* allowances
* medical
*pension
* living expenses
* hazard pay
* hardship allowances
* field allowances
Nchi ya CANADA ndio inatajwa nchi inayolipa wanajeshi wake mshahara mkubwa duniani.
Sio kwerKwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii
Australia - private anapokea Milioni 6 kwa mwezi
"Sajenti" anapokea Milioni 9 kwa mwezi
Canada - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
Sajenti anapokea milioni 10 kwa mwezi
Lutenant anapokea milioni 6 kwa mwezi
Ireland - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
sajenti anapokea milioni 7 kwa mwezi
lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi
NewZealand -private anapokea milioni 6 kwa mwezi
- sajenti anapokea milioni 9 kwa mwezi
- lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi.
UK(UINGEREZA)- private - milioni 4 kwa mwezi
-sajenti - milioni 8 kwa mwezi
- lutenant - milioni 8 kwa mwezi
USA - Private - milioni 4 kwa mwezi
- sajenti - milioni 5 kwa mwezi
- lutenant - milioni 7 kwa mwezi
Hapa hapajawekwa yafuatayo ambayo ni LAZIMA
* bonuses
*benefits
* allowances
* medical
*pension
* living expenses
* hazard pay
* hardship allowances
* field allowances
Nchi ya CANADA ndio inatajwa nchi inayolipa wanajeshi wake mshahara mkubwa duniani.
Canada nawezaje kwenda mkuuKwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii
Australia - private anapokea Milioni 6 kwa mwezi
"Sajenti" anapokea Milioni 9 kwa mwezi
Canada - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
Sajenti anapokea milioni 10 kwa mwezi
Lutenant anapokea milioni 6 kwa mwezi
Ireland - private anapokea milioni 5 kwa mwezi
sajenti anapokea milioni 7 kwa mwezi
lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi
NewZealand -private anapokea milioni 6 kwa mwezi
- sajenti anapokea milioni 9 kwa mwezi
- lutenant anapokea milioni 7 kwa mwezi.
UK(UINGEREZA)- private - milioni 4 kwa mwezi
-sajenti - milioni 8 kwa mwezi
- lutenant - milioni 8 kwa mwezi
USA - Private - milioni 4 kwa mwezi
- sajenti - milioni 5 kwa mwezi
- lutenant - milioni 7 kwa mwezi
Hapa hapajawekwa yafuatayo ambayo ni LAZIMA
* bonuses
*benefits
* allowances
* medical
*pension
* living expenses
* hazard pay
* hardship allowances
* field allowances
Nchi ya CANADA ndio inatajwa nchi inayolipa wanajeshi wake mshahara mkubwa duniani.
Jeshi la wokovu mkuuWewe upo jeshi la nchi gani? tuanzie hapo kwanza.
Kwa Nchi za ulaya wanaangalia uzoefu kakaaacha fix yaan
sajent V tatu anapata mshahara mkubwa kuliko luten amabye ni nyota 2
Nimeuliza jeshi la nchi gani? sikuuliza jeshi gani? au kuna nchi inaitwa Wokovu?!Jeshi la wokovu mkuu
Ooh jeshi la canadaNimeuliza jeshi la nchi gani? sikuuliza jeshi gani? au kuna nchi inaitwa Wokovu?!
ukianza kazi unanza naKwa Nchi za ulaya wanaangalia uzoefu kakaa
Hizo million ulizozitaja ni kwa ratio ip, tz shillings, us dollars or? Na kama ni tz shillings umetudanganya coz kwa ulaya MTU hawez kusurvive kwa hizo rank za salary kwa mwez.Kwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii