Nchi zinazolipa kama ukipata medali Olympics

Nchi zinazolipa kama ukipata medali Olympics

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,699
Reaction score
2,610
Ukichukua medali ya dhahabu unakamata kama ifuatavyo
Singapore - $800,000
Kazakhstan - $250,000
Kyrgyzstan - $200,000
Uzbekistan - $150,000
Russia - $135,000
Tajikistan - $63,000
US - $25,000
Australia - $20,000 + sura kwenye stampu za posta
UK - ZERO + sura kwenye stampu za posta
 
haa!...mi nilikuwa najua US ndio full bata.....
 
haa!...mi nilikuwa najua US ndio full bata.....
Uzuri wa US ukiwa famous unachukua madili ya makampuni Nike, Adidas etc Mwogeleaji Phelps anakamata kama mil $10 kwa mwaka, sema ndo hivyo sio kila mchezo unavutia wafadhili.
 
Tanzania medali za nini??
Dhahabu tunayo na tunaigawa bure tu kwa wageni
Ukichukua medali ya dhahabu unakamata kama ifuatavyo
Singapore - $800,000
Kazakhstan - $250,000
Kyrgyzstan - $200,000
Uzbekistan - $150,000
Russia - $135,000
Tajikistan - $63,000
US - $25,000
Australia - $20,000 + sura kwenye stampu za posta
UK - ZERO + sura kwenye stampu za posta
 
Medali zenyewe za "Dhahabu" sio dhahabu ni Silver iliyo gold plated.
 
olimpic wanapendelea!wanatuonea watanzania bwana, hawajaweka michezo ya UFISADI NA RUSHWA,
wanajua tutashinda zote kwa nafasi zote za juu!
 
Back
Top Bottom