Nchi zilizoendelea............!

Nchi zilizoendelea............!

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
mashoga.jpg

Haya sasa, Wabongo wataanza kuiga
Maana waliiga kuvaa chain, heleni na vidani puani, sasa hiyo nyingine hahahaaaa........................!
 
Na ziendelee tu, mimi nabaki Africa. Si unacheki mwenyewe!
images
 
View attachment 98834

Haya sasa, Wabongo wataanza kuiga
Maana waliiga kuvaa chain, heleni na vidani puani, sasa hiyo nyingine hahahaaaa........................!


Tuwasubiri kina Ruge na Kusaga waone haya kwani wakishaona wataanza kutafuta mapunda/kunguru wa kuwatumia, watawavalisha na kuwatungia nyimbo za pipi kijiti kisha baada ya miezi utasikia kijana mwingine wa kibongo kafia Sweden ama South madawa yamempasukia tumboni na Clouds kujitolea kusafirisha mwili wake mpaka Tanzania. Subirini tu. Kuishi Tanzania ni kuona mengi.
 
Back
Top Bottom