GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,864
- 18,586
Hata hiyo per capita income haina utofauti sana na GDP.Per Capital Income ndiyo habari za mjini, hizi GDP hazina msaada sana kwa wananchi mmojammoja.

Nini hiki umeandika ?Hiki tunakisema kila siku humu ndani, China ana safari ndefu sana kufikia alipo US. Nchi za magharibu wale ni wavumbuzi na wana akili kubwa ktk uchumi na hasa ktk teknolojia.
Ukizungumzia mafanikio ya China basi unazungumzia uwekezaji, uwekezaji huo kwa sehemu kubwa saana umeletwa na watu wa magharibi yaani USA na washirika wake. Ukiondoa uwekezaji wa Ulaya na US pale China, China itakuwa na anguko kubwa sana ambalo halijawahi kutokea.
Pili, China ana export sana bidhaa zake kwa nchi za Ulaya, yaani Balance of Trade (kile unachoingiza na kile unachouza nje) kwa China ana faida kubwa mno, kwa zaidi ya 80% ya faida nzuri anaipata ktk nchi za Magharibi.
Sasa hapo unaweza jaribu kuelewa China anaweza ishi vipi bila wazungu. China sio mjinga kila akipigwa biti na wazungu kuhusu Taiwan anatulia, hata kule Ukraine ameshindwa kabisa kumsupporr swahiba wake Russi sababu anajua akipigwa pini kadhaa amedondoka ktk anguko kubwa ambalo yamkini ikamhitaji miaka zaidi ya 100 kurecover.
Tukizungumzia teknolojia duniani na services bora, hatuachi kuwataja watu wa Magharibi, Innovations zinaanzia kwao, China anakuja na copies. Sasa mtu anayekuja na copies hawezi kuwa bora kuliko yule muanzilishi. Chukua bidhaa zozote zile za China kisha weka na za Ulaya, fanya comparisons halafu uone Mchina alivyopigwa gap.
US iko mbali sana, kuja kumtoa pale sio leo wala kesho. Kizazi hiki hakitakuja kushuhudia anguko la US.
Ulaya na marekani raia wanapenda simu za Huawei,zimeipiga gape iphones,zina ubora mkubwa na ni cheap,we unadai bidhaa zao famba,famba mnaletewa nyinyi huku, FDI ndiyo imeipaza china,Leo inamkopesha Hadi marekani na uingereza,achilia mbali sisi makapuku,halafu hapo sijaona nchi takatifu Ila nimewaoba maustaadh kwenye orodhaHiki tunakisema kila siku humu ndani, China ana safari ndefu sana kufikia alipo US. Nchi za magharibu wale ni wavumbuzi na wana akili kubwa ktk uchumi na hasa ktk teknolojia.
Ukizungumzia mafanikio ya China basi unazungumzia uwekezaji, uwekezaji huo kwa sehemu kubwa saana umeletwa na watu wa magharibi yaani USA na washirika wake. Ukiondoa uwekezaji wa Ulaya na US pale China, China itakuwa na anguko kubwa sana ambalo halijawahi kutokea.
Pili, China ana export sana bidhaa zake kwa nchi za Ulaya, yaani Balance of Trade (kile unachoingiza na kile unachouza nje) kwa China ana faida kubwa mno, kwa zaidi ya 80% ya faida nzuri anaipata ktk nchi za Magharibi.
Sasa hapo unaweza jaribu kuelewa China anaweza ishi vipi bila wazungu. China sio mjinga kila akipigwa biti na wazungu kuhusu Taiwan anatulia, hata kule Ukraine ameshindwa kabisa kumsupporr swahiba wake Russi sababu anajua akipigwa pini kadhaa amedondoka ktk anguko kubwa ambalo yamkini ikamhitaji miaka zaidi ya 100 kurecover.
Tukizungumzia teknolojia duniani na services bora, hatuachi kuwataja watu wa Magharibi, Innovations zinaanzia kwao, China anakuja na copies. Sasa mtu anayekuja na copies hawezi kuwa bora kuliko yule muanzilishi. Chukua bidhaa zozote zile za China kisha weka na za Ulaya, fanya comparisons halafu uone Mchina alivyopigwa gap.
US iko mbali sana, kuja kumtoa pale sio leo wala kesho. Kizazi hiki hakitakuja kushuhudia anguko la US.
Purchasing power parityHata hiyo per capita income haina utofauti sana na GDP.
Baada ya kumalizana na China, Japan, India, Korea, Singapore.Kwa tathimini ya IMF ndani ya miaka 10 ijayo Indonesia itakuwa na nguvu za kiuchumi kuizidi mpaka Ujerumani iwapo kasi yake ya ukuaji wa kiuchumi haitapungua.
Indonesia sio ya kuchukulia poa kabisa inakuja kwa kasi.
Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion
2.🇺🇲USA: $26.94T
3. 🇮🇳India: $13.11 T
4.🇯🇵Japan: $6.46T
5.🇩🇪Germany: $5.55T
6.🇷🇺 Russia: $5.05T
7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T
8.🇧🇷Brazil: $4.01T
9.🇬🇧UK: $3.87T
10.🇫🇷 France: 3.86T
11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T
12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T
13.🇮🇹 Italy: 3.19 T
14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T
15.🇪🇸 Spain: 2.41 T
16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion
17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion
18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion
19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion
20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion
21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion
22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion
23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion
24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion
25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion
26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion
27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion
28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion
29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion
30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T
Source: Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)
Wapi taifa teule linaloshabikiwa na walokoleFrench, UK pamoja na uporaji wa rasilimali za mataifa mbalimbali wanazidiwa na India?
Belgium naona hawamo kwenye hizo nchi 30 pamoja na kuipora Congo DRC na mabeberu wenzake.
Israel lini imefanya uporaji wa rasilimali za Waafrika?Wapi taifa teule linaloshabikiwa na walokole
Ila US anamadeni mengi kuliko China so China economy ipo strong zaidi ya USKama ni za kweli , Marekani kuja kumpata mchina kwenye Gdp ni ngumu
INGAwa per capital income Marekani ataendelea kuongoza kwa muda mrefu
Population inawasaidia wachina kuwa na GDP kubwaKabisa kwa uchumi wa mwananchi mmoja mmoja per Capital ndo Ina maana na china anazidiwa per capital na mataifa mengi Sana anaweza kushika nafasi hata kumi na zaidi
Ila kitaifa Gdp ndo inapima uchumi wa Taifa husika na hii ni ishara mbaya kwa taifa la Marekani mchina anaenda kumpiga gap kubwa Sana
Kumbuka ni miaka michache tangu mchina akaue na kushika namba mbili
GDP ni lile pato la jumla la mwaka linalozalishwa ndani ya nchi na wananchi wa hio nchi na wageni,GNP ni pato linalozalishwa na wananchi husika tu waliopo ndani na diasporaKwa lugha rahisi,tofauti ya GDP na GNP ni ipi mkuu ?
GDP ni lile pato la jumla katika shughuli zote za uzalishaji kwa mwaka ,mfano mishahara wanayopata watumishi, mapato wanayopata wakulima,wavuvi,wachimbaji,wafanyabiashara nakadhalikaKwani GDP inakuwa calculated vipi? Au ni kitu gani
GNP ni pato linalozalishwa ndani ya nchi na raia wa hiyo nchi pamoja na raia wake waishio nje yaani diaspora and does not include any ìnvestment made by foreign companies or individuals within country ,ihope ulimaanisha hivyo mkuuGDP ni pato la ndani pekee la Taifa litokanalo na uzalishaji wa bidhaa na huduma ndani ya kipindi flani, mfano mwaka mmoja.
Per capita income ni wastani wa pato la mtu mmoja ndani ya Taifa.
Chukua jumla ya mapato yote ya Nchi gawanya kwa idadi ya watu wote wa Nchi husika.
GNP/GNI ni jumla ya pato lililozalishwa ndani ya Taifa pamoja na pato lililozalishwa na wageni wa nje ya Nchi hiyo.
Naomba kusahihishwa.
KunaKama ni za kweli , Marekani kuja kumpata mchina kwenye Gdp ni ngumu
INGAwa per capital income Marekani ataendelea kuongoza kwa muda mrefu
Nani kakudangaya? Japan wapo zaidi ya milioni 120, wapo wengi nao, sema tu population yao kubwa ni wazee, kama Ujerumani wana crisis ya nguvu kazi hawa wa sasa wakistaafu.Japan ina watu wachache sana, wanawezaje kuzishinda nchi zenye wengi kama China na India ?
Haya ni matamanio yako mkuu na sio Uhalisia.Hiki tunakisema kila siku humu ndani, China ana safari ndefu sana kufikia alipo US. Nchi za magharibu wale ni wavumbuzi na wana akili kubwa ktk uchumi na hasa ktk teknolojia.
Ukizungumzia mafanikio ya China basi unazungumzia uwekezaji, uwekezaji huo kwa sehemu kubwa saana umeletwa na watu wa magharibi yaani USA na washirika wake. Ukiondoa uwekezaji wa Ulaya na US pale China, China itakuwa na anguko kubwa sana ambalo halijawahi kutokea.
Pili, China ana export sana bidhaa zake kwa nchi za Ulaya, yaani Balance of Trade (kile unachoingiza na kile unachouza nje) kwa China ana faida kubwa mno, kwa zaidi ya 80% ya faida nzuri anaipata ktk nchi za Magharibi.
Sasa hapo unaweza jaribu kuelewa China anaweza ishi vipi bila wazungu. China sio mjinga kila akipigwa biti na wazungu kuhusu Taiwan anatulia, hata kule Ukraine ameshindwa kabisa kumsupporr swahiba wake Russi sababu anajua akipigwa pini kadhaa amedondoka ktk anguko kubwa ambalo yamkini ikamhitaji miaka zaidi ya 100 kurecover.
Tukizungumzia teknolojia duniani na services bora, hatuachi kuwataja watu wa Magharibi, Innovations zinaanzia kwao, China anakuja na copies. Sasa mtu anayekuja na copies hawezi kuwa bora kuliko yule muanzilishi. Chukua bidhaa zozote zile za China kisha weka na za Ulaya, fanya comparisons halafu uone Mchina alivyopigwa gap.
US iko mbali sana, kuja kumtoa pale sio leo wala kesho. Kizazi hiki hakitakuja kushuhudia anguko la US.
Indonesia anatakiwa awe role Model wa Africa, badala ya kumuiga yeye tunahangaika na mataifa ambayo hatufanani nayo.Duh,kumbe Indonesia sio poa,kazipita nchi kibao kubwa za ulaya
Pamoja na yote hayo kwa GDP bado anaendelea kumpiga gap US...na huo ndiyo uhalisiaHiki tunakisema kila siku humu ndani, China ana safari ndefu sana kufikia alipo US. Nchi za magharibu wale ni wavumbuzi na wana akili kubwa ktk uchumi na hasa ktk teknolojia.
Ukizungumzia mafanikio ya China basi unazungumzia uwekezaji, uwekezaji huo kwa sehemu kubwa saana umeletwa na watu wa magharibi yaani USA na washirika wake. Ukiondoa uwekezaji wa Ulaya na US pale China, China itakuwa na anguko kubwa sana ambalo halijawahi kutokea.
Pili, China ana export sana bidhaa zake kwa nchi za Ulaya, yaani Balance of Trade (kile unachoingiza na kile unachouza nje) kwa China ana faida kubwa mno, kwa zaidi ya 80% ya faida nzuri anaipata ktk nchi za Magharibi.
Sasa hapo unaweza jaribu kuelewa China anaweza ishi vipi bila wazungu. China sio mjinga kila akipigwa biti na wazungu kuhusu Taiwan anatulia, hata kule Ukraine ameshindwa kabisa kumsupporr swahiba wake Russi sababu anajua akipigwa pini kadhaa amedondoka ktk anguko kubwa ambalo yamkini ikamhitaji miaka zaidi ya 100 kurecover.
Tukizungumzia teknolojia duniani na services bora, hatuachi kuwataja watu wa Magharibi, Innovations zinaanzia kwao, China anakuja na copies. Sasa mtu anayekuja na copies hawezi kuwa bora kuliko yule muanzilishi. Chukua bidhaa zozote zile za China kisha weka na za Ulaya, fanya comparisons halafu uone Mchina alivyopigwa gap.
US iko mbali sana, kuja kumtoa pale sio leo wala kesho. Kizazi hiki hakitakuja kushuhudia anguko la US.
Cha ajabu Wahindi wanakimbilia nchi za Ulaya.French, UK pamoja na uporaji wa rasilimali za mataifa mbalimbali wanazidiwa na India?