Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,577
- 46,687
- Thread starter
- #21
Amadid nenda Lusaka hapo office za home affairs zipo opposite na kamwala market ila ujipange kutoa hela bila hivyo Wazambia ni shida ukizidisha siku wao watagonga kwa kurudisha tarehe na kukuongezea ila uwe na kwatcha usiende kuuliza huku ni mtuhumiwa utaenda jela hawatanii hao kuhusu kuzisha siku..kama una passport Ndogo unga unga tuu uondoke panda Taqwa mueleze Kondacta atajua jinsi ya kulitatua kama kuna uhamiaji wataingia ila kama ni passport kubwa tatua tatizo hapo hapo ndio uondoke...