Nchi zenye passport zenye nguvu Afrika

Nchi zenye passport zenye nguvu Afrika

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
20,576
Reaction score
41,346
1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129
2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125
3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94
4. Botswana hawahitaji Visa kuingia katika nchi 73
5. Gambia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 68
6. Kenya hawahitaji Visa kuingia katika nchi 68
7. Leshoto hawahitaji Visa kuingia katika nchi 67
8. Namibia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 67
9. Malawi hawahitaji Visa kuingia katika nchi 66
10. Zambia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 66

Hizo nchi kumi za Afrika ndio zinazoongoza kwa wao kupata Entry Visa baada ya kuwasili katika nchi ya ugenini tofauti na zingine lazima uombe Visa ya kuingia kabla hata ujasafiri.
 
Is this true what about egypt, libya, algeria, angola and equtorial guinea? Review again the list
 
Mwakwetu ulichoangalia katika hizo Nchi ulizotaja ni nini Egypty wanaingia Nchi 51 tuu,Algeria wapo katika nafasi hiyi hiyo China,Cambodia na Vietnam ni 50,Tanzania 61 Nchi ya Mwisho ni Afghanistan 24 ya tatu kutoka chini ni Iraq 30 ya kwanza ni Germa na Sweeden 197 hii ni ya may 2016..
 
Nyie waongo sana. Sisi ni 76 kwanini ujaeka . Tunaomba kama kitu ukijui nyamazi au fanya uchunguzi
 
Tanzania Katika Nchi za Africa tuu ni Nchi zisizozidi 25 tunsingia Free,Asia ni Hong kong,Singapore,Macau,Singapore,Phillipines,Indonesia,Cambodia na Bangladesh,Europe ni Georgia tuu na Oceania ni Nchi 7 pekee wewe kama unazijua hizo 76 tupia tujifunze tuu Mkuu tupo kujifunza na si kubishana...
 
asante sana kiongozi alikua ajakupata kidogo mdau ulikua una maanisha katika bara la afrika siyo dunia nzima
 
kiongozi samahani kidogo na kwa dunia nzima passport gani ya nchi za afrika yenye nguvu ebu tufumbuane na hapo kuna kipindi nilikua malawi wenyeji wakule walineleza kwenda canada ni vyepesi sana kwa watu wa malawi sijui ni kweli?
 
asante sana kiongozi alikua ajakupata kidogo mdau ulikua una maanisha katika bara la afrika siyo dunia nzima
Mkuu alimaanisha dunia nzima maana Africa nchi ni 56 (Kama sikosei).....hapo kuna idadi ya nchi zaidi ya hizi za Africa
 
Tanzania Katika Nchi za Africa tuu ni Nchi zisizozidi 25 tunsingia Free,Asia ni Hong kong,Singapore,Macau,Singapore,Phillipines,Indonesia,Cambodia na Bangladesh,Europe ni Georgia tuu na Oceania ni Nchi 7 pekee wewe kama unazijua hizo 76 tupia tujifunze tuu Mkuu tupo kujifunza na si kubishana...

Kiongozi kwani Afrika ina nchi ngapi? Wewe unazungumzia Afrika wakati mleta maada kazungumzia Dunia maana Africa peke yake nchi hazifiki 129 idadi ambayo Shelisheli anaruhusiwa kuingia free. So Tanzania hapo tuweke maana duniani tunaingia zaidi ya nchi 70+ free of visa.
 
Kwenda kula herb kwa watanzania......no misukosuko......Kingston here I come.......
 
Nite
1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129
2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125
3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94
4. Botswana hawahitaji Visa kuingia katika nchi 73
5. Gambia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 68
6. Kenya hawahitaji Visa kuingia katika nchi 68
7. Leshoto hawahitaji Visa kuingia katika nchi 67
8. Namibia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 67
9. Malawi hawahitaji Visa kuingia katika nchi 66
10. Zambia hawahitaji Visa kuingia katika nchi 66

Hizo nchi kumi za Afrika ndio zinazoongoza kwa wao kupata Entry Visa baada ya kuwasili katika nchi ya ugenini tofauti na zingine lazima uombe Visa ya kuingia kabla hata ujasafiri.
Noted
 
Sasa hii passport yang ya intention ctaweza kuingia
Nayo Ethiopia bla visa
 
Tanzania Katika Nchi za Africa tuu ni Nchi zisizozidi 25 tunsingia Free,Asia ni Hong kong,Singapore,Macau,Singapore,Phillipines,Indonesia,Cambodia na Bangladesh,Europe ni Georgia tuu na Oceania ni Nchi 7 pekee wewe kama unazijua hizo 76 tupia tujifunze tuu Mkuu tupo kujifunza na si kubishana...
Naomba Msaada Wa kujua .Kwa MTU uliopitisha siku za kukaa ( overstay ) Kwa Zambia zaidi ya mwaka mmoja Kwa siku walizokupa wao kwenye passport . Nianzie wapi Kwa wazoefu Msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
source ni May,2016 sasa ni 2018 tuna elekea 2019...

Bongo muvi Bongo lala...
 
Jamani kuna mtanzania yeyote anaishi au aliwahi kuishi mynamar (Burma) anijuze Hali y kule ikoje kijamii na kiuchumi na wenyeji wanamtazamo upi kwa wageni. Nimepata single mother huko kabla sijamfuata inabidi nipate japo darasa kutoka kwenu
 
Tanzania Katika Nchi za Africa tuu ni Nchi zisizozidi 25 tunsingia Free,Asia ni Hong kong,Singapore,Macau,Singapore,Phillipines,Indonesia,Cambodia na Bangladesh,Europe ni Georgia tuu na Oceania ni Nchi 7 pekee wewe kama unazijua hizo 76 tupia tujifunze tuu Mkuu tupo kujifunza na si kubishana...
Weee.sisi zipo nyingi
Belize
Ecuador
Singapore
Maldavies
Seychelles
Malaysia
Kenya
Uganda
Congo
Lesotho
South Africa
Botswana
Ghana
Geogia ila kwa wenye vibali maalumu
Burundi
Rwanda
Nepal
Bangladesh
Niue
Grenada
Cambodia
Dominica
Bermuda
Barbados
Antigua and Barbuda
Fiji
Transnitria
Maccau
Hong Kong's
Mauritius
Madagascar
Palau
Indonesia
Cooks islands
Northern Cyprus

Aisee zipo kibao
 
Back
Top Bottom