Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Ndio KakaSwitzerland wana internet yenye speed zaid ata ya Japan na Nchi za American zote. [emoji15] [emoji15]
Hata kwenye utafiti huo hatupo ila Kenya inaongoza kwa Afrika.Tanzania GB 2 kwa Masaa 78000
Hatupo kwenye utafiti huo ila kenya ipo, bofya link hiyo kusoma nchi za Afrika.Tz ya ngapi..? [emoji848][emoji848]
Asante mkuu..Hatupo kwenye utafiti huo ila kenya ipo, bofya link hiyo kusoma nchi za Afrika.
Bado hatujafanyia uchunguzi hilo lakini, we will get back to you kuhusu hilo.hv ule mkonga wetu wa taifa unatuwezesha kupata MB/s??
Karibu KakaAsante mkuu..
Sijakuelewa Kaka.Daa ila sisi wabongo tunapenda ukaiunganisha nchi yetu na vitu vya kijingaa
Hiv Hong Kong...ni nchi....?...na mji mkuu wake unaitwaje...?
Kwa kweli kwenye utafiti huu hatupo lakini lazima tutakuwa kwenye nafasi nzuri tu kwa Afrika, bofya link hapo chini kuona list ya nchi za Afrika.Pamoja na kuzika vifaiber optic huko barabarani bado haijasaidia hapa Bongo kwetu kwenye upande wa speed!!??
Hapa sija kugusa wewe ndugu yupo kiazi mmoja kila kitu analinganisha Bongo yetu na watu walio mbali kimaisha japo yeye yupo yupo tuu kama furushi la ma...vSijakuelewa Kaka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tanzania GB 2 kwa Masaa 78000