Acha ubaguzi,,,,, kwani Bashite pamoja na kutumia cheti feki na sizonje anajua kajiuzuru!? Au hata kuonyesha vyeti tu je kafanya hivyo? Ndio tumeibiwa lakini hakuna dhamira ya kweli kwa viongozi wote Tanzania! Acha wakauke kama Bashite iwe ngoma droo tu,,,,,,,Tanzania tabia za viongozi kulindana zitatukwamisha kwenye mambo mengi sana.
Nchi za wenzetu akina Andrew Chenge, Wiliam Ngeleja, Kafumu wangejiuzulu UBUNGE wetu kupisha uchunguzi wa mikataba ya madini ukamilike.
Sisi wala hawataguswa.
Kweli Ulishawahi Kusikia Chama Cha Siasa Kimeuzwa Kwa Billionaire? Hii Marekani Haipo!Nchi za 'wenzetu' ni zipi? Kama unamaanisha nchi za ulaya, USA na Asia basi unatudanganya, hao wako mbali sana kiasi kwamba sio haki kusema ni wenzetu. Wenzetu wako hapa hapa Afrika na wanafanya kama yale tunayofanya sisi ambayo ni kulindana na kuiba mali za umma. Ndicho anachofanya Zuma, Eduardo Dos Santos na ndicho elites wa CCM wanafanya.
Marekani ipo, Republicans wameuza chama kwa Trump ambaye awali alikuwa democrat.Kweli Ulishawahi Kusikia Chama Cha Siasa Kimeuzwa Kwa Billionaire? Hii Marekani Haipo!