Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,814
- 34,196
Jamaa amaeacha Microphone, simu na pochi anafanya ibada ndani ya Msikitini.
Huku kwetu bongo ukiacha simu hivi yenyewe ita vibrate kwa kuogopa Wizi...
huku kwetu hata walinzi ni wezi kwa taarifa yakoUlinzi huko wa kutosha hapo nje!Hata huku ukiwekwa ulinzi wa nguvu mbona inawezekana tu!
huku kwetu hata walinzi ni wezi kwa taarifa yako
View attachment 353490
Jamaa amaeacha Microphone, simu na pochi anafanya ibada ndani ya Msikitini.
Huku kwetu bongo ukiacha simu hivi yenyewe ita vibrate kwa kuogopa Wizi...
Ni hatari sana. Ndiyo maana wengine hawafumbi macho wakati wa ibadaKama Polisi wanaagizwa waibe tairi za magari wanayoyakamata unategemea nini mkuu?
Ni hatari sana. Ndiyo maana wengine hawafumbi macho wakati wa ibada
Hapana mkuu ni uimara wa imani tuUlinzi huko wa kutosha hapo nje!Hata huku ukiwekwa ulinzi wa nguvu mbona inawezekana tu!
Ulinzi huko wa kutosha hapo nje!Hata huku ukiwekwa ulinzi wa nguvu mbona inawezekana tu!