Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nchi za Magharibi kwenye hii vita ya Urusi na Ukraine wanapigana kisayansi zaidi na kisomi

Wameanza na vikwazo vizito vikiwemo kuwatoa kwenye matumizi ya Euro,Dollar,pound na Yen na matumizi ya kibenki kupitia swift.Maana yake nini? Urusi haiwezi kuuza au kununua kutoka nnje ya nchi au kulipa au kulipwa chochote sababu hakuna benki itaweza pokea malipo au kulipa Russia kupitia mabenki!!

Maana yake Urusi uchumi wake umefungwa wote na biashara zake zote wanatakiwa waishi kijima subsistence economy !!!
Muda si mrefu wananchi wa Russia wataingia mitaani kupinga Putin kwa kuwapa maisha magumu na kumtaka aondoke watamkabidhi nchi za Magharibi kama ilivyotokea kwa Ghadaffi na Saddam Hussein muda si mrefu

Nchi za Magharibi zinalenga shabaha vikwazo kwa wananchi walio wengi wa Russia zaidi ili wafikie uasi wakati Russia analenga wananchi wachache wa Ukraine .Ndio maana hadi sasa NATO na Marekani hawajarusha risasi hata moja wanaenda kisayansi zaidi

Matokeo ya hii vita yatamtimua Putin na Russia iliyopo itavunjila vipande tena kwa uasi wa ndani

Putin Ni Boris Yelstin wa pili ambaye kaamua kuvunja hata kipande kidogo cha Russia kilichobaki baada ya Urusi kubwa kuvunjika chini ya Boris Yelstin
 
Amrushie Bomu mjerumani aone. Vita itachangamka sana. Germany alikuwa founder wa Vita ya pili patawaka moto
Mjerumani alikuwa anaiogopa sana Urusi ndio maana Hitler aliwekeana makubaliano ya amani na Stalin kipindi hicho lakini Hitler akamzunguka Mrusi akamvamia kipindi ambacho Urusi alimchukulia Ujerumani ni rafiki. Urusi angejiaandaa kama ujerumani, Ujerumani asingejaribu kumvamia Urusi.Zaidi ya miaka 70 sasa Urusi imejiandaa vilivyo.

Mwambie Ujerumani akamtetee Ukraine usikilizie hiyo show itakavyokuwa
 
Wajerumani wana spirit ya vita sio dada zako wa usa hao
 
Mjerumani alikuwa anaiogopa sana Urusi ndio maana Hitler aliwekeana makubaliano ya amani na Stalin kipindi hicho lakini Hitler akamzunguka Mrusi akamvamia kipindi ambacho Urusi alimchukulia Ujerumani ni rafiki. Urusi angejiaandaa kama ujerumani, Ujerumani asingejaribu kumvamia Urusi.Zaidi ya miaka 70 sasa Urusi imejiandaa vilivyo.

Mwambie Ujerumani akamtetee Ukraine usikilizie hiyo show itakavyokuwa
Wamebaki kubwekea televishenini na twitani tu, thousands of miles away from the battlefield!
 
Nchi za Magharibi kwenye hii vita ya Urusi na Ukraine wanapigana kisayansi zaidi na kisomi

Wameanza na vikwazo vizito vikiwemo kuwatoa kwenye matumizi ya Euro,Dollar,pound na Yen na matumizi ya kibenki kupitia swift.Maana yake nini? Urusi haiwezi kuuza au kununua kutoka nnje ya nchi au kulipa au kulipwa chochote sababu hakuna benki itaweza pokea malipo au kulipa Russia kupitia mabenki!!

Maana yake Urusi uchumi wake umefungwa wote na biashara zake zote wanatakiwa waishi kijima subsistence economy !!!
Muda si mrefu wananchi wa Russia wataingia mitaani kupinga Putin kwa kuwapa maisha magumu na kumtaka aondoke watamkabidhi nchi za Magharibi kama ilivyotokea kwa Ghadaffi na Saddam Hussein muda si mrefu

Nchi za Magharibi zinalenga shabaha vikwazo kwa wananchi walio wengi wa Russia zaidi ili wafikie uasi wakati Russia analenga wananchi wachache wa Ukraine .Ndio maana hadi sasa NATO na Marekani hawajarusha risasi hata moja wanaenda kisayansi zaidi

Matokeo ya hii vita yatamtimua Putin na Russia iliyopo itavunjila vipande tena kwa uasi wa ndani

Putin Ni Boris Yelstin wa pili ambaye kaamua kuvunja hata kipande kidogo cha Russia kilichobaki baada ya Urusi kubwa kuvunjika chini ya Boris Yelstin
Day dreaming...
 
Back
Top Bottom