Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

Dalili za corona ni zipi?
Symptom Percentage
Fever 87.9%
Dry cough 67.7%
Fatigue 38.1%
Sputum production 33.4%
Shortness of breath 18.6%
Muscle pain or joint pain 14.8%
Sore throat 13.9%
Headache 13.6%
Chills 11.4%
Nausea or vomiting 5%
Nasal congestion 4.8%
Diarrhoea 3.7%
Haemoptysis 0.9%
Conjunctival congestion 0.8%
Mtu akifa kwa hizi dalili atachunguzwa tu.... Iwe Africa,America,Europe, Asia na kwingineko.
 
Ilikua Jumanne ya February 25 mchana nikaanza kijickia vibaya homa homa kichef chef nikatapika kidg ( sina mimba) bac nikajua njaa nikala vzur niakshiba nikalala na machovu mwilin ikapita jumatano hivo hivo alhamic nikaamka na kifua kiakvu sana na koo inawasha na puani nikaona dalili za flue niakajua hii ni flue kali sana inakuja mana nina experience na flue wala cjawah kupona nikipata baridi mavumbi zinakuja ila flue mbaya ni ile inayonipata nikiona tu kifua kimekauka najua sio flue ya cku3🧐 sawa alhamic kufka jioni homa imepanda vbaya nikaoga nikalala na homa kali sana flue tayar imekuja na kifua pua inabana cpat kupumua vzur ijumaa mapema nikaamkia hospital ila naumwa vbaya sana wakanipima UTI negative malaria negative nikapewa dawa ya kifua na homa na panadol hazikunisaidia na zilinipa allergy nina ttzo la non steroids drugs nikajua ni panadol nikalala kidg ucngz kuamka najihisi pua imebana napumua kwa mbali na pumu zimenipanda homa juu macho yamevimba nikaenda pharmacy haraka kunnua vicks inhaler ya kupaka na kunusa nikannua salbutamol ya pumu ilkua imeisha nikannua na Otrivin nasal drops nikazitumia hapo hapo phramacy nikabak km dakika 40 nikajiona cjambo nikarud nyumban ila homa kali ipo pale pale na mwili unaniuma km nimepigwa jumamoc ilpofka niakweza kutoka kdg kufka jioni homa inapanda na ucku pia jumapili nikaenda dar nikafkia regency kwa homa nako vipimo negative nikaendela kutumia dawa zngu za flue

Masual nilojiulza

hospital zote niloenda na pharmacy pia hakuna hata aloshtushwa na homa yngu kali na mafua yngu yanayopga chafya na nguvu sina

Nikasema kabla ya kuugua nilienda hotel moja kumchkua rafki yngu wa kike tukatoka tukaenda hotel nyengne kumpitia mtu mwengne na tuliingia ndan tukakaa mda mwingi tukarudi tukaenda forodhan tukabak km masaa mawili na wazungu tulikua nao karibu karbu na kwenye viti

Nikijiangalia immunity yngu ilivo ndg kupata infectious desease nikawa na wasi wasi icje ikawa ugonjwa uloingia hatuna vipimo japo flue ni kawaida yngu ila kilchonipa wasi wasi ni kwenda forodhan na homa ambayo ni kali mno ckuwah kupata homa aina hiyo na imedumu mda mrefu ikapata afadhal ikarudi kwa masaa mpaka jana ndio najiona mwili wngu upo sawa ila kikohozi bado nnacho

Nilichoshukuru ni kwamba nimepona na naendelea a pirika zangu ingawa ckujua tatizo lilkua ni nini mana ckua na tatizo kwenye vipimo



Sent using Jamii Forums mobile app
POLE SANA, UTAPONA KABISA,USIJALI SIO KORONA
 
Mbona watu weupe wanaambukizwa corona wakiwa huku Afrika ambako kuna joto? (refer katika nchi za Afrika ambapo ngozi nyeupe imeugua corona)

Wametoka nao huko waliko toka, halijoto ya Afrika ni ngumu kwa vimelea hivyo kuishi. Lkn pia kinga ya miili yetu inahimili hayo maradhi. Na hilo si sasa tu tangu enzi na enzi. Miaka ya 1918, wengi walikufa kwa homa ya mafua ya kihispania, wakati watu wa bara la Afrika hawakuathirika kwa kiwango hicho.
Hawa vimelea walisha fika mazingira ya Afrika siku nyingi, ila halijoto ndiyo inayosaidia.
 
Katika kile kinachoweza tafsiriwa kama mkanganyiko, Nchi za magharibi za zidi kushangazwa kwa nini nchi za Afrika zinaonekana kutoathirika na virusi vya Corona.

Mijadala imekuwa mingi katika nchi hizo, wengi wakihoji ugonjwa ambao mpaka sasa umeshafika katika mabara yote na umekuwa ukisambaa kwa kasi.

Kwa nini kwa Waafrika stori imekuwa tofauti, yaani wagonjwa waliokutwa nao ndo haohao yaani kwa nini hausambai kama ilivyo kwa nchi nyingine. Mijadala imekuwa mingi sana na hata kuibua hisia kali.

View attachment 1382779
Tungepata figures za wanaokufa na kuambukizwa na pia tukajua wana asili gani,either in Iran,Italy,the UK,the US etc.etc.ingetuweka kwenye hali nzuri sana ya kuweza kusema why that is the case.All the same,zipo taarifa kwamba COVID-19 imetengenezwa or bio-engineered kwa ajili ya people of Chinese origin.Yaani kama wewe una gene ya kichina,basi ipo likehood ya kupata COVID-19.Kama hii ni kweli basi,no African kwa maana ya Mwafrika hasa,atakufa kwa COVID-19,and this is what I believe.

Lakini sababu nyingine ni 5G.Maeneo yote ambayo ni 5G hotspots ndiyo yanayoshambuliwa sana na COVID-19 kwa kuwa 5G inashusha sana immunity.Fuata link zifuatazo uone ukweli huo!

Look at where the coronavirus is exploding the most—countries that have the most 5G Hotspots! | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary

Fuata pia link ifuatayo uone health hazards za 5G,ikiwa ni pamoja na kushusha immunity.5G ni kitu kisichofaa na hatari sana,afadhali kidoogo 3G na 4G.

What are the Health Risks of 5G? Your Questions Answered.
 
Unaamini theory usizoelewa zipo vipi
Sio nchi zote zenye baridi wameathiriwa na corona. Mpaka sasa North Korea na Russia hawajapata wagonjwa wa corona.

Na fahamu kuwa kuanzia November mpaka March ni msimu wa baridi katika za kizio cha kaskazini. Kuanzia Amerika mpaka Asia.
 
Sio nchi zote zenye baridi wameathiriwa na corona. Mpaka sasa North Korea na Russia hawajapata wagonjwa wa corona.

Na fahamu kuwa kuanzia November mpaka March ni msimu wa baridi katika za kizio cha kaskazini. Kuanzia Amerika mpaka Asia.
Russia hakuna baridi?
 
Back
Top Bottom