Nchi za magharibi ni matatizo

Nchi za magharibi ni matatizo

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
inasikitisha ugonjwa wa ebola unavyoisumbua magharibi mwa nchi za afrika.lakini kwa muono wangu nchi za magharibi kutaka kuusambaza kwa maksudi nchi nyingine za africa mara madaktari wa wa nchi kwenda kusaidia kutibu ebola mpoto kupewa nishani ebola ili mradi nchi zipata ugonjwa zitoe masharti kusaidiwa zipata maambukizi nchi zenyewe maskini wanataka ziendelee kuwa maskini.

madaktari wanashindwa kutibia wananchi wake wanakurupuka kwenda kupambana na ebola kwa kisingizio eti kwenda kujifunza
 
Mkuu huo ugonjwa umeanzia nchi za Afrika Magharibi na chanzo chake kinajulikana sasa nchi za ulaya wao wanauska vp kuusambaza,unajua marekani tu ametoa wanajeshi ,vifaa plus hera kiasi gan kwenda kusaidia,bado Uingereza,Ufaransa leo hii unaona hawafai sometimes hata kama hauzpendi hz nch ni bora kukaa kmya.
 
Back
Top Bottom