Nchi za Kiislam Ziko Vitani, Tujihadhari

Status
Not open for further replies.

nkosikazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
361
Reaction score
337
Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.

Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.

Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?

Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?

Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
 
haki sawa @we ni goat tuuu!!

kweli mkuu poast yako ni logical na ukweli ni kwMba hao wenzetu wanahemea mirija ya oksjen,, hasa iraq ndio kumenuka kabisaa!

hata saudi na yemen kumepoa tuu ila iko very tense!!!
amani ya zanzibar inatokana na muungano wetu siku wakijitenga watakuwa kama somalia!
hata haya mabom mnayosikia ni ishara ya amani kuanza toweka zanzibar huku bara hatuna shida bali tunaletewa na zenji.

SO tukitengana nao tutakuwa safe ila wao wataangamia.
 
Irag sio nchi ya kiislamu,raia wake ndo waislamu.vilevile syria.
 
Nigeria sio nchi ya kiislam wako waislam 50% na wengine sio waislam.
 
Kama mnaweza kutafuta kitabu kinaitwa; "Islam the clock of antichrist."
Nitakuja baadaye kumaliza nachotaka kusema. Dunia ijiandae na mifumoko ya bei sababu ya mafuta yatapanda bei kama nyakati za vita ya iran na iraq.

The king.
 
Kiufupi nchi inayotawaliwa kwa sharia ndo ina qualify kuitwa nchi ya kiislamu.irag ni secular pia syria.
 
Hata Zanzibar ni secular state in theory. Hata Eypt ni hivo hivo. Lakini in essence ni nchi za Kiislam. Vita ya sasa Iraq ni ya kidinikati ya Shia na Sunni. Sasa usecular wake uko wapi?
 
Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.
Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.
Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?
Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?
Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.

Hizo vita zinazoendelea katika hizo nchi za kiislamu zimesababishwa na nchi za kikristo.

Mfano.

1.USA na washirika wake walideploy majeshi miaka kadhaa iliyopita na kuyapeleka iraq na middle east kwa kigezo kwamba kuna weapons of mass destruction kitu ambacho hadi leo wamekosa kukipa backup ya ushahid.

Wakazivamia nchi zile kumbe nia ni kuiba mafuta mwshowe wamepandika makundi yanayogombana yenyewe kwa wenyeewe na kuacha political instability kama ile.

2.Wakaenda libya nchi ambayo ilikua politically stable na kuivamia kwa kigezo kile kile cha uongo ili mradi waibe mafuta and yes they did.

Nato na washirika wake ambao ni nchi za kikikristo wakaivamia nchi ile our sister african country and guess what hakukaliki kule hao wote wakristo wamesababisha hivyo.

3.Wakaona hiyo haitoshi wakaunda group kama boko haram under CIA kisha wakaipa jina lao na kulinasibisha na uislam kisha wakalidump nigeria kwa sababu zile zile za oil.

Kumbuka huko ndiko kwenye utajir wa mafuta ili mradi tu wafanikiwe nia yao ili kutimiza malengo yao baadae waache political instability km kawaida yao.

Aibu sasa imeanza kuwashika baada ya watu wenye akili kuanza kugundua fitna zao.

Zipo ncho nyingi tu zenye waislam na kuna aman tu.

Infact uislam upo dunian kote iweje tusiskie vurugu sehemu kama Makkah ambako ndiko center ya kukutana waislam worldwide every year??

Acheni mambo yenu ya kutaka kuuchafua uislam.

Ulikuepo utawepo na utazid kuendelea kuwepo.

Islam is the best way of life.

And currently islam is the leading religion spreading throughout the world

Ukweli utasimama siku zote hata kama bbc cnn na aljazeera wataupiga vita.
 
Mwana jukwaa, unachoona hapo ni symtoms of problem na ingelikuwa vyema kama ungeangalia zaidi Causes of problem kwani hicho ndicho kinachoweza kuonyesha uhalisia wa vita hizo zinazoendelea huko na kuweza ku-reflect kama zinaweza tokea Tanzania au laa.
Ninachokumbuka ni kwamba Mwaka 1992 vita ilianza Somalia baada ya marekeni kuingiza mjeshi yake huko na kuyatoa baadae baada ya wasomali kushika baadhi ya wanajeshi wa marekani na kuwaburuza kwa magari hadharani, pia mwaka 2003 vita iliingia Iraq baada ya mmarekani kudai saadam ana mabomu angamizi ya Alsamud, pamoja na G8 kupinga iraq kupigwa lakini Marekani ilijiingiza vitani na mpaka leo hawajaweza kutuonyesha hata kipande cha bomu la alsamud, ukifika pale Pakistan ndio usiseme Mmarekani alikuwa anamtafuta Osama bin Laden akidai ni gaidi wa dunia na kuangamiza raia wasio na hatia. Hata hivyo Juzi marekani katia timu pale Libya akidai Gadaf anawanyanyasa raia wake na hivyo anaenda kuwaweka huru. HIVYO KUSEMA NCHI ZA KIISLAM ZIKO KATIKA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE BADO INAHITAJI HOJA ZA KUTOSHA KWANI MWANZO WA VITA HUANZISHWA NA MAREKANI. We angalia jinsi anavyoiandama Iran kwa kisingizio cha vinu vya nuclear, tusishangae kesho na kesho kutwa kuiona marekani ikiingiza majeshi yake huko.
Uzuri wa kujifunza ni kutoa kwanza bias moyoni na katika fikra na kuanza tukio toka chokochoko zinaanza mpaka hali ilivyo sasa.
 
si vita ya kidini,ni siasa tu baada ya rais wa irag ambae alikua msuni kushitakiwa kwa rushwa,aliususa urais na akaandoka na kukimbilia eneo la wakurd akitoa ahadi ya kurudi kwa revenge.

Pia marekani hawapendi ukaribu wa irag na iran ,ndo wamefanya kuwatrain isis kule jordan na kisha kuwaingiza irag ili wamng'oe nool al fking malik.
 
Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.
Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.
Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?
Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?
Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
Hapo hakuna nchi ya Kiislam hata moja sijui kama unajua maana ya nchi za Kiislam wewe ukiona raia wake wengi ni Waislam unaropoka tu bila ufahamu.

Umeiweka Zanzibar kama nchi ya Kiislam wakati ni Jamhuri ya muungano wa Tanzania halafu umezisahau Indonesia, Malaysia, Singapore, Brunei, Senegal, Chad, Comoro, Uturuki, Iran, na zingine raia wake wengi ni Waislam lakini haujaziweka kwenye orodha yako ya kipuuzi.

Unatakiwa ufahamu hivyo vita nimesababishwa na nani.

Vita vilivyopo Congo,Uganda, Rwanda, ni vita vya Wakirsto? Vita vingi duniani vinaletwa na Marekani na washirika wake kwa maslahi yao.
 
Hatujawahi skia nchi hizo unazozisema ni za kiislam zikideploy majesh yake kupeleka kwenye hizo nchi za kikikristo.

Badala yake nchi hizo zimekuwa wahanga wa kuvamiwa kipropaganda na uzushi kisha zinaachwa katika hali dhalili kama hizo.

Watu wanavamiwa na kuuwawa innocent civilians bila sababu

Wanapoakuwa wamechoka na kureact in seld defence wanaitwa extrimists.

Nani mkorofi kati ya yule alievuka mipaka yake na kwenda kuvamia nchi nyingine na yule mvamiwa anaereact in self defence??
 
Hizo vita zinazoendelea katika hizo nchi za kiislamu zimesababishwa na nchi za kikristo.

Mfano.

1.USA na washirika wake walideploy majeshi miaka kadhaa iliyopita na kuyapeleka iraq na middle east kwa kigezo kwamba kuna weapons of mass destruction kitu ambacho hadi leo wamekosa kukipa backup ya ushahid.

Wakazivamia nchi zile kumbe nia ni kuiba mafuta mwshowe wamepandika makundi yanayogombana yenyewe kwa wenyeewe na kuacha political instability kama ile.

2.Wakaenda libya nchi ambayo ilikua politically stable na kuivamia kwa kigezo kile kile cha uongo ili mradi waibe mafuta and yes they did.

Nato na washirika wake ambao ni nchi za kikikristo wakaivamia nchi ile our sister african country and guess what hakukaliki kule hao wote wakristo wamesababisha hivyo.

3.Wakaona hiyo haitoshi wakaunda group kama boko haram under CIA kisha wakaipa jina lao na kulinasibisha na uislam kisha wakalidump nigeria kwa sababu zile zile za oil.

Kumbuka huko ndiko kwenye utajir wa mafuta ili mradi tu wafanikiwe nia yao ili kutimiza malengo yao baadae waache political instability km kawaida yao.

Aibu sasa imeanza kuwashika baada ya watu wenye akili kuanza kugundua fitna zao.

Zipo ncho nyingi tu zenye waislam na kuna aman tu.

Infact uislam upo dunian kote iweje tusiskie vurugu sehemu kama Makkah ambako ndiko center ya kukutana waislam worldwide every year??

Acheni mambo yenu ya kutaka kuuchafua uislam.

Ulikuepo utawepo na utazid kuendelea kuwepo.

Islam is the best way of life.

And currently islam is the leading religion spreading throughout the world

Ukweli utasimama siku zote hata kama bbc cnn na aljazeera wataupiga vita.

Umetoa hoja nzuri sana kuhusu chanzo cha vurugu hiz ingawa sikubaliani nazo zote. Mfano ugomvi wa Sunni na Shia sects upo karne na karne ila uvamizi wa America ndio umefanya mambo yawe worse. Vivo hivo kwa Libya nchi iliyokuwa nzri sana. Sasa ukweli unabai kuwa nchi hizi ziko vitani regardless of the cause. Hatua gani sasa zichukuliwe kwa nchi kama Zanzibar na Tanganyika kuepusha maafa? Argument yako nyingine kuhusu Uislam kuwa dini kubwa imekosa mantiki kwenye argument yako nzuri, so I wont comment on that
 
Mwana jukwaa, unachoona hapo ni symtoms of problem na ingelikuwa vyema kama ungeangalia zaidi Causes of problem kwani hicho ndicho kinachoweza kuonyesha uhalisia wa vita hizo zinazoendelea huko na kuweza ku-reflect kama zinaweza tokea Tanzania au laa.
Ninachokumbuka ni kwamba Mwaka 1992 vita ilianza Somalia baada ya marekeni kuingiza mjeshi yake huko na kuyatoa baadae baada ya wasomali kushika baadhi ya wanajeshi wa marekani na kuwaburuza kwa magari hadharani, pia mwaka 2003 vita iliingia Iraq baada ya mmarekani kudai saadam ana mabomu angamizi ya Alsamud, pamoja na G8 kupinga iraq kupigwa lakini Marekani ilijiingiza vitani na mpaka leo hawajaweza kutuonyesha hata kipande cha bomu la alsamud, ukifika pale Pakistan ndio usiseme Mmarekani alikuwa anamtafuta Osama bin Laden akidai ni gaidi wa dunia na kuangamiza raia wasio na hatia. Hata hivyo Juzi marekani katia timu pale Libya akidai Gadaf anawanyanyasa raia wake na hivyo anaenda kuwaweka huru. HIVYO KUSEMA NCHI ZA KIISLAM ZIKO KATIKA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE BADO INAHITAJI HOJA ZA KUTOSHA KWANI MWANZO WA VITA HUANZISHWA NA MAREKANI. We angalia jinsi anavyoiandama Iran kwa kisingizio cha vinu vya nuclear, tusishangae kesho na kesho kutwa kuiona marekani ikiingiza majeshi yake huko.
Uzuri wa kujifunza ni kutoa kwanza bias moyoni na katika fikra na kuanza tukio toka chokochoko zinaanza mpaka hali ilivyo sasa.

Ni kipofu huyo.

Anadiscuss outcomes huku akiacha kuangalia source zake ni zipi??

Stupid.
 
Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.

Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.

Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?

Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?

Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
Nchi zote hizo ulizotaja sio nchi za kiislam,ila ina idadi kubwa ya waislam.Nchi hizo zote zinaendesha serekali zao bila kufuata uislam.
 
Hizo vita zinazoendelea katika hizo nchi za kiislamu zimesababishwa na nchi za kikristo.

Mfano.

1.USA na washirika wake walideploy majeshi miaka kadhaa iliyopita na kuyapeleka iraq na middle east kwa kigezo kwamba kuna weapons of mass destruction kitu ambacho hadi leo wamekosa kukipa backup ya ushahid.

Wakazivamia nchi zile kumbe nia ni kuiba mafuta mwshowe wamepandika makundi yanayogombana yenyewe kwa wenyeewe na kuacha political instability kama ile.

2.Wakaenda libya nchi ambayo ilikua politically stable na kuivamia kwa kigezo kile kile cha uongo ili mradi waibe mafuta and yes they did.

Nato na washirika wake ambao ni nchi za kikikristo wakaivamia nchi ile our sister african country and guess what hakukaliki kule hao wote wakristo wamesababisha hivyo.

3.Wakaona hiyo haitoshi wakaunda group kama boko haram under CIA kisha wakaipa jina lao na kulinasibisha na uislam kisha wakalidump nigeria kwa sababu zile zile za oil.

Kumbuka huko ndiko kwenye utajir wa mafuta ili mradi tu wafanikiwe nia yao ili kutimiza malengo yao baadae waache political instability km kawaida yao.

Aibu sasa imeanza kuwashika baada ya watu wenye akili kuanza kugundua fitna zao.

Zipo ncho nyingi tu zenye waislam na kuna aman tu.

Infact uislam upo dunian kote iweje tusiskie vurugu sehemu kama Makkah ambako ndiko center ya kukutana waislam worldwide every year??

Acheni mambo yenu ya kutaka kuuchafua uislam.

Ulikuepo utawepo na utazid kuendelea kuwepo.

Islam is the best way of life.

And currently islam is the leading religion spreading throughout the world

Ukweli utasimama siku zote hata kama bbc cnn na aljazeera wataupiga vita.

kwanin tusijaribu kuukataa huu uchonganishi wa hawa ma westerners kwa kutumia dini yetu ndani ya misikiti kwenye mihadhara yakidini nk.maana tuspokua makini tutaacha vizazi vinavyhasimiana milele.
 
Hata Zanzibar ni secular state in theory. Hata Eypt ni hivo hivo. Lakini in essence ni nchi za Kiislam. Vita ya sasa Iraq ni ya kidinikati ya Shia na Sunni. Sasa usecular wake uko wapi?
Hata Ireland ya Kaskazini wanapigana wakatoliki na waprotestant.Sudan ya Kusini wanapigana,Congo wanapigna,Uganda wanapigana,Ukraine wanapigana,nk
 
Back
Top Bottom