Mpeni mwarabu nchi aendesheTanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...
Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?
Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?
Another on-line trash list
Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...
Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?
Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?
Another on-line trash list
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.No data, you are making stories. Any data to support your argument?
Tanzania inaongozwa vizuri zaidi kuliko South Africa, kwa vigezo gani?
Hana vigezo ka copy na ku paste kutoka sehemu nyingine bila kushirikisha ubongo.SA ? Umetumia vigezo gani ?
Senegal si jana tu wametoka kumfurusha mtu ikulu!CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:
Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:
Rank Country. Rank. Score
1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6
10 best governed countries in Africa according to World Economics
Business Insider Africa presents 10 best governed countries in Africa.www.pulse.ug
Wazee wa mbio za Mwenge na kuabudu Mwenyekiti hawamo!🤣CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:
Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:
Rank Country. Rank. Score
1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6
10 best governed countries in Africa according to World Economics
Business Insider Africa presents 10 best governed countries in Africa.www.pulse.ug
Tafiti hazipingwi kwa mihemko,fanya na wewe utafiti wako ulete hapa jamvini!Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...
Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?
Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?
Another on-line trash list
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
Sasa kama kuna uongozi mbovu inakuaje na Uchumi mkubwa kuzidi ata Tanzania?Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
Hana vigezo ka copy na ku paste kutoka sehemu nyingine bila kushirikisha ubongo.
HIyo ni wananchi wamechoka na huyo kiongozi aliyefurushwa pia alikua amechoka madaraka ikulu tamu wewe!Hata kumfurusha kiongozi anayefanya vibaya au anayekiuka katiba na sheria za nchi kunaashiria mifumo mizuri ya kiutawala inayoupa mamlaka makubwa umma.
kwenye hili nakuunga mkono isee south hapafai utasema ni gang za madawa ya kulevya ndio wenye nchi..Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
Narudia tena, mkiwa mnasoma vitu sehemu viacheni hukohuko.Wewe ni mtupu sana. Umewekewa na link ambayo hata kama una akili ndogo ungeweza kusoma na kuelewa vigezo vilivyotumika. Hawa watafiti hawakurupuki kama unavyofanya wewe, kuropoka tu kuwa Tanzania inaongozwa vizuri kuliko South Afrika.