Nchi yetu na taifa letu Tanzania

Nchi yetu na taifa letu Tanzania

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,485
Reaction score
3,224
Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu.

Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na matumaini na kuponga majeraha ya matukio yasiyofurahisha.

Mimi naanza na hili;

RUSHWA Hili ni dudu linaloitafuna nchi yetu na athari zake ni kubwa kwa kila ngazi. Yuko wapi Lyimo wa madawa ya kulevya katika "rushwa".
 
kuna kakikundi ka watu kameiharibu Tanzania ili tu kutetea kiti chao. ila wangeweza kupata icho kiti hata bila kuiharibu na kutugawanya. mwisho wa siku watalaumu wanaichi wanaoonewa na kuumizwa kwamba ndio wanachafua taifa, kumbe wao ndio walichafua kwa kufunga makanisa, kugawa watu na kufanya mambo ya ajabu kwa uroho tu wa madaraka.
 
Back
Top Bottom