haha mnaona sasa munajikanyaga,sasa hivi media zinasema munasherekea uhuru wa tanzania bara,hahaha uhuru huo mumeupata wapi wa tanzania bara ? inamana nyie ni wabara. au watanganyika ?Nasikia mara ohhhh, wabara wanatuonea, wabara wanatudharau. Sisi si wabara, ni watanganyika bana!
Muungwana haachi asili. Nia yangu si kuanzisha thread ya kupinga muungano, bali sipendi kuitwa mbara na ndio maana ninasema sisi sio wabara, ni watanganyika. Ukisema Tanganyika ni jina la kikoloni, basi kataa pia majina ya Tabora, Mwanza, Dar es salaam, Tanga na mengine mengi yanayopatikana katika ramani iliyochorwa na mkoloni.
Kifuu cha nazi wewe hahaha.Ah ah unajua kuwa ata zanzibar ni muungano wa sehemu mbili?Zanzibar imeundwa na Unguja na Pemba then Tanzania=Tanganyika+Unguja+Pemba au inakuaje? 1964 Tanganyika +Zanzibar=Tanzania sasa nchi ya Tanzania bara ilitoka wapi?Then kama imeanza 1977 bado haijafikisha 50yrs na hapo muungano Tanganyika na Zanzibar basi ulivunjika 1977 then ukaanza wa Tanzania bara na Zanzibar then hiyo tz bara nani aliiunda na hiko wapi ana its government???
Nasikia mara ohhhh, wabara wanatuonea, wabara wanatudharau. Sisi si wabara, ni watanganyika bana!
Muungwana haachi asili. Nia yangu si kuanzisha thread ya kupinga muungano, bali sipendi kuitwa mbara na ndio maana ninasema sisi sio wabara, ni watanganyika. Ukisema Tanganyika ni jina la kikoloni, basi kataa pia majina ya Tabora, Mwanza, Dar es salaam, Tanga na mengine mengi yanayopatikana katika ramani iliyochorwa na mkoloni.
Ni kweli usiopingika wazanzibar wanadhulumiwa. kama Ni muungano wa kweli wa nchi mbili lazima mgawo Uwe sawa nusu kwa nusu. Hapa Nina maana Watanganyika acheni kuzubaa pazeni sauti kuutafuta uhuru wenu na hazina yenu TANGANYIKA ILIKOFICHWA NA HAWA WENYE AKILI FINYU. Huu muungano huu Ni wa kihuni tu. Unaposema Muungano wa nchi unazungumzia nchi hizo zimeungana zenye ku- share ya uchumi wao kwa sawa. Tunazungumzia Muungano wa Mataifa mawili. Lakini uhuni uliopo Ni kuwa tuna SERKALI MBILI TU YA MUUNGANO na ya ZANZIBAR. Je ZANZIBAR imeungano na Serikali ya Muungano. Kwa nini Watanganyika wanaendelea kuficha umwall wa mambo? Kuna siri gani hapo? Mara utasikia Kuna wizara za Muungano na zisizo za Muungano. Hiilo Bunge lisilo La Muungano upande mwingine wa Muungano linakutana lini kujadiri maendeleo Yao kama Wazanzibar? Ina maana BUNGE LA MUUNGANO NDILO HILO HILO LINAJADILI MAMBO YA MUUNGANO NA BAADAYE HUBADILIKA KAMA KINYONGA HUVUA GAMBA WAKIWEMO WANZANZIBAR WANANZA KUJADILI MAMBO YASIYO YAMMUUNGANO KAMA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR. BAJETI INAPITISHWA YA MUUNGNO HALAFU INBADILIKA AUTOMATICAL KUWA PIA YA TANGANYIKA. CCM ACHENI UNAFIKI TUMEGUNDUA NDIYO MAANA NCHI HAENDELEI KWA SABABU YA KUFANYA KAZI KWA HOFU NA UNAFIKI. JIFUNZE MUUNGANO KAMA WA NCHI ZA KIARABU, ULAYA, N.K. Hata Nchi zilizoendelea zina Muungano lakini nchi kama nchi imebaki na haadhi yake. Wanayo mambo ya muungano yanayoeleweka lakini Pia kila nchi inafanya mambo yake bila kuingiliwa. Sio kama muungano wa Tanzania uliojaa unafiki na udikiteta. Ndiyo maana wanataka kufanya kama kitu kitakatifu kisichojadiliwa. Muungano gani unakuwa na miaka mingi Mamma hii bila. Kufanyiwa Evaluation. Umefika wakati kizazi hiki kijadili kwa undani kuona tumefaidikaje na muungano huu. Je inafaa tuendelee na mfumo huu Au hapana.
Jamani mara nyingi tunapenda ku externalize our own faults!! msiwalaumu Wazanzibari kwani ni sisi wenyewe tumeiua Tanganyika! mie naona wenzetu wako safi bila unafiki ndio maana yule kiongozi wa maimam kule zaenji alichana ule waraka wa Katiba mbele ya Kombani na Sita na akatamka wazii leteni katiba ya Tanganyika kwanza ndio tuongelee muungano!!! Iko wapi tanganyika???? wacha watuite wabara kwa uzandiki na unafiki wetu
Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.
Tanganyika haijawahi kufa kwani hata neno TANZANIA ni kifupisho cha maneno TANganyikaZANzibar(IA). Hayo maneno ya mwisho waliyaongeza tu kufanya jina litamkwe ki-pan african zaidi. Hivyo kimsingi huwezi kuongelea Tanzania bila kuzitaja Tanganyika na Zanzibar.
sasa mbona zanzibar na wazanzibari wana haki ya kujiita hivyo ndani ya muungano wakati sisi Watanganyika hatuwezi? BIG B.S!!!!!