Aliyeizika Tanganyika si CCM. Ni Nyerere na ilikuwa kabla ya CCM kuzaliwa kwa miaka mingi sana, Tanzania ilianza mwaka 64. CCM ilianza lini?
Fikiri.
hatuna haja ya kudai tanganyika yetu maana hatujabadilisha chochote,bendera,wimbo wa taifa vya tanzania vyote ni vya tanganyika,vazi la taifa kila kitu ni vya tanganyika ,kwa kifupi tanzania ni tanganyika,historia ya tanzania ni ya tanganyika ,labda nyie wa znz kama wanataka nchi yao maana ilivo sasa ni kama mkoa tu wa TZ.Watanganyika wenzangu wala msijishugulishe niaminini mimi hamna utamaduni wa tanganyika uliopotea eti kwa sababu ya kuwa Tanzania.Watanganyika ni waoga wa kila kitu. Kazi yao ni Domo reeeefu bila ya vitendo, maneno meeeengi vitendo vichache. Usishangae ndio maumbile yao, ndio maana wakaitwa Wadanganyika. Mtanganyika aliyebaki ni mmoja tu Mch. Mtikila. Wengine wote ni Nguvu mdomo tu. Eti waache wao wadai, itakayobaki ndio yetu. Pumbav. UMOJA NI NGUVU. Kila upande udai haki zake tuone kama haitorudi Tanganyika na Zanzibar. TUAMKE KUMEKUCHA HAKUNA KULALA. Wadanganyika.
Ubaguzi utawamaliza! Hivi unajua Tanganyika ilikumuisha Rwanda na Burundi au Tanganyika ipi muitakayo?
Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.
historia, nimesoma japo si sana inaonekana hukunielewa vizuri kwa vile post imekaakaa kaa shairi fulani hivi, laki my point is:
1. Tanganyika ni nchi iliyobuniwa na kubatizwa jina hilo na wakoloni
2. Tanzania ni nchi iliyobuniwa na kubatizwa jina hilo na wazalendo
3. mimi na wingine wenye umri usiofikia miaka 47, tumezaliwa Tanzania na sio Tanganyika
4. muungano ni kielelezo cha umoja wetu na licha ya mapungufu yake, ni bora kuliko kutengana
5. changamoto tuliyonayo ni kuondoa mapungufu yake, iwe ni kwa kuunda serikali moja, tatu au kubaki na mbili za sasa, vyovyote vile, muhimu tuondoe kero zinazohusiana na muungano
kilichotufanya tusindwe kuijenga Tanzania si muungano uliopo, bali masuala mengi tu tunayojadili hapa kila siku kama ufisadi nk. kwa hiyo hata tukiuvunja muungano, tutashindwa kuijenga Tanganyika pia kama hatutapambana na matatizo haya (ufisadi nk)

haupo sahihi katika hayo maandishi niliyoyawekea rangi nyekundu
Tanga na Nyika ni aina ya samaki waliokua wakipatikana Ziwa Tanganyika(sina uhakika kama bado wanapatikana) na ndio jina Tanganyika lilipotokea na sio kweli kwamba wakoloni ndio walitoa jina la Tanganyika.
Itafika hatua watu watagawanyika mpaka kwenye ngazi ya familia. Mtaanza kusema sisi ni wazawa wa kwanza na wao wa pili. Sisi wa Baba na wao wa Mama. Tunapoelekea huku tutaanza "Sisi ni JF Premium Member, wao ni Junior Member na hawalipii.Yanayotuunganisha ni makubwa kuliko yanayotutenganisha.Baadaye watajitenga wakisema "sisi ni watanganyika, wao wazanzibari. Lakini mgawanyiko wao hautaishia hapo bali vile vile wazanzibari tena watasema, "sisi ni waunguja na wao ni wapemba". huku Bara/Watanganyika nao watasema, "Sisi ni wa kusini, wao ni wa kaskazini". Wataendelea mpaka watasema sisi ni wa moshi, wao ni wa Arusha.......
historia, nimesoma japo si sana inaonekana hukunielewa vizuri kwa vile post imekaakaa kaa shairi fulani hivi, laki my point is:
1. Tanganyika ni nchi iliyobuniwa na kubatizwa jina hilo na wakoloni
2. Tanzania ni nchi iliyobuniwa na kubatizwa jina hilo na wazalendo
3. mimi na wingine wenye umri usiofikia miaka 47, tumezaliwa Tanzania na sio Tanganyika
4. muungano ni kielelezo cha umoja wetu na licha ya mapungufu yake, ni bora kuliko kutengana
5. changamoto tuliyonayo ni kuondoa mapungufu yake, iwe ni kwa kuunda serikali moja, tatu au kubaki na mbili za sasa, vyovyote vile, muhimu tuondoe kero zinazohusiana na muungano
kilichotufanya tusindwe kuijenga Tanzania si muungano uliopo, bali masuala mengi tu tunayojadili hapa kila siku kama ufisadi nk. kwa hiyo hata tukiuvunja muungano, tutashindwa kuijenga Tanganyika pia kama hatutapambana na matatizo haya (ufisadi nk)
Well said! Tujivunie Utanzania kwa vile unatokana na sisi wenyewe kwa hiari yetu wenyewe, na kwa malengo yetu wenyewe hata km kutokana na kasumba yao baadhi yetu wanataka kuukana na kujinasibisha na ukoloni, kwa kushupalia majina ya mapokeo ambayo hata maana yake hatujuimimi sio mtanganyika,
sikuzaliwa Tanganyika,
maana ya neno Tanganyika, siijui,
Tanganyikailitoka wapi, sijui,
ilibatizwa jina na nani, sijui
nilizaliwa Tanzania,
nilizaliwa Afrika
nilizaliwa duniani
nlizaliwa na mwanadamu
kwa hiyo;
mimi ni mtanzania
mimi ni mwafrika
mimi ni mwanadamu
maana ya Tanzania, najua
maana ya Afrika, najua
maana ya Dunia, najua
maana ya mwandamu, najua
nawauliza wazanzibari,
nini maana ya Zanzibari,
nani aliipa jina Zanzibari,
kwa nini wajivunie uzanzibari?
kwa nini wasijivunie utanzania?