Nchi yangu imepata Uhuru!

Emashilla

Senior Member
May 24, 2012
138
0
Maswali:(1)Tanzania ilipata uhuru lini? (2)Tanganyika ilipata uhuru lini? (3)Mashariki Tanzania inapakana na Nchi gani?
 

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
1,511
1,250
wanasiasa hawana aya.ilibidi waseme uhuru wa Tanganyika na sio tanzania.tanzania ni muungano wa nchi mbili,sherehe zake ni za muungano.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom