SCOOBY DOO
Member
- Dec 16, 2013
- 76
- 69
Akili za kutosha kujua msalani lazima ushushe suruali pekeeWatu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbo la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Taifa star imefungwa viongozi wakubwa kabisa wanakwambia ni lishe duni na maumbile madogo wakati hata mtoto mdogo ukimuuliza atakwambia ni ukosefu wa academy kwa watoto wetu, mbona misri, Brazil n.k. maumbile yao ni ya kawaida lakini wanafanya vizuriMola atunusuru!
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbo la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbo la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Wakati huo huo hayo yakitokea police na serikali inakuwa likizo au hao mabosi wa red brigade siyo watanzania wanaopaswa kulindwaWatu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbi la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Ni wakati muafaka wa kuwa kamata hao mabosi wa red brigade kwa kitaa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.Wakati huo huo hayo yakitokea police na serikali inakuwa likizo au hao mabosi wa red brigade siyo watanzania wanaopaswa kulindwa
Watu wamekuwa wa kitekwa toka enzi ya ukoloni,kilichotokea sasahivi ni wimbi la watu kujiteka kutaka umaarufu wa kisiasa.Mbali na hapo kuna vijana walipewa mafunzo ya kigaidi wakijiita red brigade hawa nao wana wateka mabosi wao wa zamani kwakuwa hawakulipwa chochote.
Sawa kabisa msengemavi.Mfano mzuri wa 'waliojiteka' unaweza kuwa ni pamoja na Mo, Mdude, Azory, Ben Saanane nk? Wewe hata buku moja hupewi kabisa!
Haha man una weak point. Allegation zako zimekaa kisiasa zaid uliko actual facts. Yes watu walikuwa wakitekwa enzi za ukoloni.. but si kwa speed na sababu hizi ambazo wazi ni za kisiasa.
Kwa sasawatekaj wamekuwa huru sana.. na wako sponsered na chombo flan cha serikal.. ndio maana mpaka sasa hajakamatwa hata mmoja. Why ? Sababu serikali ina. mkono mrefu sana na naviamini vyombo vya usalama. Kama wangekuwa ni watu wa upande mwingine ndio wanafanya mambo haya.. nina uhakika wangekuwa wameshakamatwa.
Mku Mwalimu Nyerere alikuwa msafi kwa hiyo ulimpa uwezo wa kutolea kauli chochote chenye ukakasi ktk taifaKuna watu hawatakwepa adhabu ya MUNGU kama maafa yakitokea nchi hii kwa sababu wameshindwa kutoa kauli za kuonya wakati wana nafasi na wajibu wa kufanya hivyo.
Watu hao ni marais wastaafu wote, Mzee Mwinyi, BM na JK.
Kipi kinawaogopesha kutoa maonyo? Mwalimu baada ya kustaafu alikuwa anawakemea bila woga Mwinyi na BM pale alipoona wanakwenda ndivyo sivyo.
wale wanaotekwa na wakamatwe tena? wanaccm wa awamu hii mna tatizo gani?Ni wakati muafaka wa kuwa kamata hao mabosi wa red brigade kwa kitaa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi.