Nchi ya Vatican ina idadi ya watu 792 tu!

Nchi ya Vatican ina idadi ya watu 792 tu!

Hapa nimekuwekea takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa kutoka World Population Prospects mwaka jana 2017 zikionyesha makadirio ya idadi ya watu katika nchi husika.

China inaongoza kwa kuwa na watu bilioni 7.5 huku Vatican ikiwa ya mwisho yenye watu 792. Tanzania ni nchi ya 24 katika orodha hiyo ikiwa na watu milioni 54.
1.4 bil idadi ya wachina
 
China watu Bilioni 7.5?! Hii mbona ngumu kumeza

Vatican watu 792?!!!!! Mmmmh
 
Back
Top Bottom