Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,313
- 14,983
Jarida la the Bloomberg la Marekani limechapisha the most innovative countries in the World na nchi ya kwanza mpaka ya tano hakuna hata moja inayozungumza au kutumia Kiingereza Nchi ya kwanza ni Korea Kusini(kikorea), ya pili Ujapani(kijapani) na ya tatu ni Ujerumani(Kijerumani) lakini lililonivutia kuliko yote na hata kunifanya nilete mada hii hapa ni nchi ya Moroko ambayo iko Kaskazini mwa Bara la Afrika nchi hii imeshika nafasi ya 50 katika nchi most innovative Duniani.
Sasa hizo za kwanza mtasema ni nchi tajiri tayari na Je Moroko? Wamewezaje kuwa the most innovative country (50) in world wakati Watanzania wanajua kiingereza kuwashinda hata Wamoroko?
Na kama kiingereza ndiyo Maendeleo mbona Kenya,Uganda na sijui Zambia, Nigeria na Zimbabwe ambao watoto wanabandikwa makaratasi mgongoni yanayosema.
Iam stupid for speaking African language" hawamo kwenye orodha ya most innovative countries?
Most Innovative: Countries - Bloomberg Best (and Worst)