Nchi ya Marekani yafuta Uraia Pacha!

Nchi ya Marekani yafuta Uraia Pacha!

Hoja kubwa ya wanadiaspora ilikuwa siku zote ni kwamba Dunia imebadilika na kwamba Nchi zote zinaruhusu Uraia pacha na mfano wao mkubwa ulikuwa ni nchi ya Marekani, sasa hiyo Marekani yenu imefuta rasmi Uraia pacha na hii ni baada ya kupima na kuona ya kwamba Marekani kama nchi inapata hasara zaidi kuliko faida kwa kuwa na Uraia pacha na walichokifanya ni hivi kama ukiwa na Uraia miwili basi ni lazima ulipe kodi nchi zote mbili yaani kwa mfano wewe ni una Uraia wa Marekani na unaishi na kufanya kazi TZ basi ni lazima ulipe kodi mara mbili yaani ulipe TZ na pia Marekani na kwa Marekani kodi ni asilimia 30% ya mshahara wako jambo lililopelekea Wamarekani wengi waliokuwa na Uraia pacha kurudisha mmoja na kubakia na mmoja tu!

Hivyo Madiasopra bado hamjanishawishi kwa nini turuhusu Uraia Pacha nchini kwetu kama hata role model wenu ameufuta rasmi (kiujanja)!

NZANGU KAGUTA (NAPOLI - ITALIA), MWINYIMWAKA (MODENA - ITALIA ), ANDREA MHELLA (ROMA) ITALIA wapiganaji wa raia pacha na wanachama hai wa CCM huko Italia.... habari ndo hiiii!
 
Chanzo ni chuki, wivu, na akili yake finyu.

Sasa mods thread za ajabu ajabu kama hizi wanangoja nini kuziondoa?

Hivi wanaojivunia uraia wa Tanzania hata haki zao za kimsingi za kiraia wanapata? Mitanzania hovyo kwelikweli.
 
Kwa uelewa wangu Marekani hawana sheria ya uraia pacha, Nijuavyo wao ukiomba uraia wa nchi yao hawakulazimishi kurudisha passport ya nchi yako ya zamani na wala hawakulazimishi kutumia passport ya marekani utakapoiomba. Kifupi ha inforce sheria yao ya uraia wa nchi moja ambayo wanayo.
 
Hapa tutake au tusitake uraia pacha unakuja, tutajitenga vipi na ulimwengu, sisi ni katika nchi tatu tu ambazo hazikuidhinisha uraia pacha, ina maana sisi tunajua zaidi kuliko nchi zote ulimwenguni huu ni wivu tu unatuhanagaisha.Tuachane na unafiki wa viongozi wengi wa nchi hii watoto wao wapo nje ya nchi na uraia wa hizo nchi.
 
haha wabongo kwa kuonyesha wivu njenje..
fanya kazi wee jamaa, concentrate kwenye kupiga hela, uki-concentrate kwenye kuanguka kwa mwenzako jua tyr usha-fail n ull never succeed kwa ujinga huo.. sasa mtu apate uraia asipate what does it have to do with you?? maisha yake, let t be, think about how u gonna live ur own life.. Nyie ndo wale mkisikia jirani anaenda ulaya kesho mnamtaftia kesi.. basi kukupooza moyo nikwambie kua living nje si urahisi wa maisha..
 
Hoja kubwa ya wanadiaspora ilikuwa siku zote ni kwamba Dunia imebadilika na kwamba Nchi zote zinaruhusu Uraia pacha na mfano wao mkubwa ulikuwa ni nchi ya Marekani, sasa hiyo Marekani yenu imefuta rasmi Uraia pacha na hii ni baada ya kupima na kuona ya kwamba Marekani kama nchi inapata hasara zaidi kuliko faida kwa kuwa na Uraia pacha na walichokifanya ni hivi kama ukiwa na Uraia miwili basi ni lazima ulipe kodi nchi zote mbili yaani kwa mfano wewe ni una Uraia wa Marekani na unaishi na kufanya kazi TZ basi ni lazima ulipe kodi mara mbili yaani ulipe TZ na pia Marekani na kwa Marekani kodi ni asilimia 30% ya mshahara wako jambo lililopelekea Wamarekani wengi waliokuwa na Uraia pacha kurudisha mmoja na kubakia na mmoja tu!

Hivyo Madiasopra bado hamjanishawishi kwa nini turuhusu Uraia Pacha nchini kwetu kama hata role model wenu ameufuta rasmi (kiujanja)!

Huu ni uwongo otherwise weka source. USA hawana mambo ya siri na kama hili limepitishwa ni lazima lingekuwa kwenye news kama CNN na kadhalika.
 
Nafikiri ingekuwa jambo la busara kuweka source ya taarifa yako hapa kuliko kuweka post na kuingia mitini. Mtu kurudisha uraia wa nchi moja na kubaki na mmoja doesn't mean nchi iliyorudishiwa passport yake hairuhusu uraia pacha. Hivyo ningekushauri uweke source ya info yako, vinginevyo huu unaweza kuitwa udaku.
Sosi imetoka mu kabati juu ya mabega.
 
sentensi za kuokotwa njiani hizi hata source hazina
 
Hoja kubwa ya wanadiaspora ilikuwa siku zote ni kwamba Dunia imebadilika na kwamba Nchi zote zinaruhusu Uraia pacha na mfano wao mkubwa ulikuwa ni nchi ya Marekani, sasa hiyo Marekani yenu imefuta rasmi Uraia pacha na hii ni baada ya kupima na kuona ya kwamba Marekani kama nchi inapata hasara zaidi kuliko faida kwa kuwa na Uraia pacha na walichokifanya ni hivi kama ukiwa na Uraia miwili basi ni lazima ulipe kodi nchi zote mbili yaani kwa mfano wewe ni una Uraia wa Marekani na unaishi na kufanya kazi TZ basi ni lazima ulipe kodi mara mbili yaani ulipe TZ na pia Marekani na kwa Marekani kodi ni asilimia 30% ya mshahara wako jambo lililopelekea Wamarekani wengi waliokuwa na Uraia pacha kurudisha mmoja na kubakia na mmoja tu!

Hivyo Madiasopra bado hamjanishawishi kwa nini turuhusu Uraia Pacha nchini kwetu kama hata role model wenu ameufuta rasmi (kiujanja)!
mtoa hoja nahisi kama kuna vitu hijaelewa! kwahiyo marekani wameamua kuwa wezi? watacjukuwaje kodi ya kazi au biashara isiyofanyika nchini kwao kama si wizi? kuna kitu kinalosekana kwenye maada yako na watu wekurupuka kuchangia!

Uraia pacha kwa nchi kama yetu ni muhimu shida ni uoga wa wanasiasa wetu wanaogopa wanaona watanyang'anywa majitonge yao na diasporas !!
 
Hoja kubwa ya wanadiaspora ilikuwa siku zote ni kwamba Dunia imebadilika na kwamba Nchi zote zinaruhusu Uraia pacha na mfano wao mkubwa ulikuwa ni nchi ya Marekani, sasa hiyo Marekani yenu imefuta rasmi Uraia pacha na hii ni baada ya kupima na kuona ya kwamba Marekani kama nchi inapata hasara zaidi kuliko faida kwa kuwa na Uraia pacha na walichokifanya ni hivi kama ukiwa na Uraia miwili basi ni lazima ulipe kodi nchi zote mbili yaani kwa mfano wewe ni una Uraia wa Marekani na unaishi na kufanya kazi TZ basi ni lazima ulipe kodi mara mbili yaani ulipe TZ na pia Marekani na kwa Marekani kodi ni asilimia 30% ya mshahara wako jambo lililopelekea Wamarekani wengi waliokuwa na Uraia pacha kurudisha mmoja na kubakia na mmoja tu!

Hivyo Madiasopra bado hamjanishawishi kwa nini turuhusu Uraia Pacha nchini kwetu kama hata role model wenu ameufuta rasmi (kiujanja)!
Sabàbu kubwa hapo ni ya kiusalama zaidi wala si ya kiuchumi kama unavyodhani.Waisraeli wamekuwa wakiwahujumu sana kiusalama Wamarekani kisha kujificha Kwenye kivuli cha uraia pacha.Israel wapo America wapo!!!
 
Uraia pacha nikigezo cha mafisadi kuiba na kukimbia nchi mimi naungana nawote wanaopinga uraia huu
 
Back
Top Bottom