Hoja kubwa ya wanadiaspora ilikuwa siku zote ni kwamba Dunia imebadilika na kwamba kila Nchi zote zinaruhusu Uraia pacha na mfano wao mkubwa ulikuwa ni nchi ya Marekani, sasa hiyo Marekani yenu imefuta rasmi Uraia pacha na hii ni baada ya kupima na kuona ya kwamba Marekani kama nchi inapata hasara zaidi kuliko faida kwa kuwa na Uraia pacha na walichokifanya ni hivi kama ukiwa na Uraia miwili basi ni lazima ulipe kodi nchi zote mbili yaani kwa mfano wewe ni una Uraia wa Marekani na unaishi na kufanya kazi TZ basi ni lazima ulipe kodi mara mbili yaani ulipe TZ na pia Marekani na kwa Marekani kodi ni asilimiani 30% ya mshahara wako jambo lililopelekea Wamarekani wengi waliokuwa na Uraia pacha kurudisha mmoja na kubakia na mmoja tu!
Hivyo Madiasopra bado hamjanishawishi kwa nini turuhusu Uraia Pacha nchini kwetu kama hata role model wenu ameufuta rasmi!
Chanzo, ila siungi mkono uraia pacha
Hoja kubwa ya wanadiaspora ilikuwa siku zote ni kwamba Dunia imebadilika na kwamba Nchi zote zinaruhusu Uraia pacha na mfano wao mkubwa ulikuwa ni nchi ya Marekani, sasa hiyo Marekani yenu imefuta rasmi Uraia pacha na hii ni baada ya kupima na kuona ya kwamba Marekani kama nchi inapata hasara zaidi kuliko faida kwa kuwa na Uraia pacha na walichokifanya ni hivi kama ukiwa na Uraia miwili basi ni lazima ulipe kodi nchi zote mbili yaani kwa mfano wewe ni una Uraia wa Marekani na unaishi na kufanya kazi TZ basi ni lazima ulipe kodi mara mbili yaani ulipe TZ na pia Marekani na kwa Marekani kodi ni asilimia 30% ya mshahara wako jambo lililopelekea Wamarekani wengi waliokuwa na Uraia pacha kurudisha mmoja na kubakia na mmoja tu!
Hivyo Madiasopra bado hamjanishawishi kwa nini turuhusu Uraia Pacha nchini kwetu kama hata role model wenu ameufuta rasmi (kiujanja)!

Mtu anaanzisha mada halafu hajitokezi kujibu hoja za wanaukumbi hata kuweka chanzo cha habari yake hataki.
Huu huwa ni upuuzi wa aina yake.
Bora nyuzi za aina hii ziwe zinatolewa tu.