Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
Kwa wale wenye taarifa juu ya nchi ya Burkina Faso, nimevutiwa sana na historia ya kiongozi Wa hapo awali Thomas Sankara. Mwenye ujuzi wa mambo yalivyo sasa naomba a share na sisi
Uchumi, siasa vyote kwa ujumla.Unataka maelezo ya mambo yapi hasa?
Uchumi?
Siasa?