Nchi ya bahati mbaya,maombolezo na lambi lambi.

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
Nhelea kusema kuwa nchi hii ni ya bahati mbaya, maombolezo na rambi rambi kwa maana ndiyo slaha ya viongozi wetu wazembe wanaposababisha mamia na mamia ya wadanganyika kupoteza maisha.Nashukuru Mungu kwa wananchi kuwa wavumilivu kwa mambo ya hatari kwao.Lakini nasema na nitasema tena upole ukizidi ni dhambi hata kwa Mungu.
 
Back
Top Bottom