Nchi tajiri kwa madini barani Afrika

Nchi tajiri kwa madini barani Afrika

DRC ndo kiboko yao.Nchi ile imebarikikiwa kila angle. Congo River,Cobalt,Diamond,Gold,Congo forest,Coltan,Copper,Uranium .DRC is blessed. Unaambiwa bomu la kwanza la atomic kutengenezwa duniani Uranium yake ilitoka DRC. Bila Cobalt ya DRC hakuna Smart phones .
Kwa DRC,Tanzania tunasubiri sana in terms of utajiri asilia.
Ila sasa wananchi wa Congo maisha yao hadi huruma. Wengi wanatamani kwenda kuishi Belgium,France,UK na USA.
Kweli kabisa Bomu LA atomic lililodondoshwa kule Japan (ambayo kwa kipimo chake kimiminika chake kilikuwa km 1 pound ilitosha kuangamiza malaki ya watu was Japan. Inasikitisha sana.
 
Kuna mc
DRC ndo kiboko yao.Nchi ile imebarikikiwa kila angle. Congo River,Cobalt,Diamond,Gold,Congo forest,Coltan,Copper,Uranium .DRC is blessed. Unaambiwa bomu la kwanza la atomic kutengenezwa duniani Uranium yake ilitoka DRC. Bila Cobalt ya DRC hakuna Smart phones .
Kwa DRC,Tanzania tunasubiri sana in terms of utajiri asilia.
Ila sasa wananchi wa Congo maisha yao hadi huruma. Wengi wanatamani kwenda kuishi Belgium,France,UK na USA.
Kuna fursa nime pewa na jamaa yangu,ambaye yy mwenyeji kule japo ni Mtz kwenda kusaka dhahabu ktk Jimbo la Maniema vimiji vya Kasongo na Mamba kule kwa kutumia kifaa Goldfinder,uliopo ktk maeneo hayo anipe mrejesho
 
kongo kasema lakini nchi masikini kwa sababu sio kwao ila tanzania ameitaja lakini kaogopa kusema nchi masikini angalizo mnapo amua kuanzisha uzi wa copy & paste msiwe mnaogopa kusema ukweli
 
Back
Top Bottom