iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,222
- 2,206
Huko ni mbali sana mkuu ,hiyo ni kwa watu ambao hawana other sources zaidi ya BAHARI ambapo ni UAE wao wamefanya hivyo...Sisi ukichimba chini tu unakutana na maji ya kutosha achilia mbali maziwa makubwa yanayotuzunguka.Je hatuwezi kuyachakata maji bahari yakafaa kutumika katika matumizi ya kawaida.?
Huko ni mbali sana mkuu ,hiyo ni kwa watu ambao hawana other sources zaidi ya BAHARI ambapo ni UAE wao wamefanya hivyo...Sisi ukichimba chini tu unakutana na maji ya kutosha achilia mbali maziwa makubwa yanayotuzunguka.
tatizo letu kuu ni tumeweka MAJIZI aka MAPIGAJI kwenye sehemu nyeti ,wanawaza KUPIGA tu kwenye hiyo miradi.
Ushasema wenzetu wana black gold. Ile pesa inafaa kufanya lolote . Bajeti yetu ndogo, taifa letu changa ndugu . InshaAllah tutafika.Tuna viongozi vilaza na wala tusisingizie tabia ya nchi wala mazingira.
UAE ni jangwa ,mvua hakuna ,joto kama lote ,wakichimba chini wanakutana na mafuta lakini hawana shida ya maji hata kidogo.
Sisi tumezungukwa na mito,maziwa na vyanzo tele vya maji ,tuna misimu minne ya mvua ya kutoasha ,ukichimba chini mita kadhaa unakutana na dhoruba ya maji yet DAR NZIMA HAKUNA MAJI.
Halafu kutwa kumsifia Aweso Aweso NON SENSE ni KIAZI tu.
Sitaki uteuzi , nimeongea facts za dunia nzima , ujue kwa sasa dunia nzima inalia kuhusu mazingira na athari zake . Au huoni hata muelekeo wa kusema sote tutumie clean or renewable energy , my brother dunia ya sasa mambo yamebadilika pakubwa sana.Waandishi kama nyinyi ndiyo manaolididimiza TAIFA kwa kutotumia kalamu yenu vizuri! Hivi TZ kweli tunachangamoto mpaka tukose maji? Really? Like Serioslly? Au unataka UTEUZI? Waambie ukweli acha UPOTOSHAJI.
Bahari ni kubwa , maji ni mengi , energy inayohitajika kuchakati kwenda maji safi kwa matumizi ya binadamu ni kubwa , nuclear energy ndio favorable i guess , ni mataifa machache yanatumia hii njia ila inafaa . Gharama ni kubwaJe hatuwezi kuyachakata maji bahari yakafaa kutumika katika matumizi ya kawaida.?
Ushasema wenzetu wana black gold. Ile pesa inafaa kufanya lolote . Bajeti yetu ndogo, taifa letu changa ndugu . InshaAllah tutafika.
Bahari ni kubwa , maji ni mengi , energy inayohitajika kuchakati kwenda maji safi kwa matumizi ya binadamu ni kubwa , nuclear energy ndio favorable i guess , ni mataifa machache yanatumia hii njia ila inafaa . Gharama ni kubwa
Ukimaanisha nini ? Tuongee kwa hojaMagari ya kubeba propaganda za kufukia uzembe na kutokuwajibika kwa watawala.
Gharama kubwa inafika sh ngapi ?
Tatizo letu unahisi ni PESA au maono?
Asante kwa kufikiri kwa kina , swala la mazingira ni pana sana. Watu wengi wanaliona kama ni dogo ila mazingira ndio kila kitu. Mazingira yanayotuzunguka kuanzia miti, vyanzo vya maji , mabonde , milima , vyombo vya moto tunavyotumia , taka tunazotumia , wanyama tunaowala na kilimo vyote hivi vinaathiri maisha yetu . Joto limezidi duniani kote , barafu zinayeyuka sehemu mbali mbali za dunia . Visiwa na majiji vinamezwa kwa uongezekaji wa maji bahari. Mengi yapo , swala ni utunzaji wq mazingira , sote tunapaswa kuwajibika.Mnatupigia kelele tu hapa.
Tatizo linaeleweka ni kwamba vyanzo vya maji vumeharibiwa kwa kuchepushwa kwa maji, watu wamekata na wanaendelea kukata miti kwenye misitu ya asili wanatengeneza mikaa bila kukemewa na kuchukuliwa hatua.