Nchi moja tena maskini lakini marais watano (5) ~ Tanzania!

Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba mpya itupe suluhu ktk hili.

vipi unataka tuwauwe wengine wabaki wawili??

mawazo gani hayo ndugu?
 
Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba mpya itupe suluhu ktk hili.

hizo ndo gharama za demokrsia,kama vipi omba tuwe na utawala wa kifalme.
 
Sababu ya kuwa na marais 5 wasio na tija ni hii
1.wizi 60%
2.ufisada 99%
3.uchakachuaji 100%
4.democrasia 0%
5.uzalendo 1%
6.maadili 1%
7.ubinafsi 100%
8.kujituma 1% :-
je,kwa haya machache miongoni mwa mengi unadhani kutakuwa na maendeleo?
"TANZANIA NAKUPENDA"
 
Wewe mpumbavu kweli, hivi unataka rais adumu miaka 50 ndo uone kuwa tunaendelea? Watu wanapigania muhula uwe mmoja tu wewe unataka kutuletea upupu wako humu. Nyie ndo vibaraka mnaotaka kutumia kuiharibu katibat na kuleta machafuko.

Tunapo kwambia shule muhimu unatoa macho!Umesoma heading tu na kumwaga matusi!Nani amezungumzia period hapo?Mtoa mada anahoji sababu za kuwa na rais,makam wa1 na wa 2 znz na rais na makam bara;gharama ni kubwa!!!!
Nitaongea na mwalimu wako wa darasa la pili;ili akakuruhusu uendelee na darasa la tatu pale ulipoishia!!!Sawa eeeeeehhh!!!!!
 
Hivi ndugu zangu kuwa na marais watano katika nchi maskini kama Tanzania ni kuongeza utawala bora ua ni kujiongezea umasikini. Zanzibar kuna marais 3 na muungano 2 je huu si mzigo kwetu. Katiba mpya itupe suluhu ktk hili.
Bora tukifute cheo cha rais kwenye katiba. Tuongozwe na mtu mmoja tu. Waziri Mkuu, sawa?
 
Back
Top Bottom