Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha


Mkuu bora umwambie haya mana Kijana wa gamba huyu anaonekana haelewi!
 

Mkuu acha kudanganya mm nimepitia comments zote hapa, **** wadau wamekupa maswali muhimu na hutaki kuwajibu, unaonyesha jinsi gani ulivyodhaifu! Pole sana endelea na muvi yako ya kuvua gamba.
 
NAPE , tazama watoto wa Kitanzania wamavyohangaika kutafuta elimu, CHADEMA SI TATIZO KATIKA NCHI HII, tuambia je nini chanzo cha uduni huu, ni taifa kukosa viongozi makini na mahiri ama ni ccm kuzeeka vibaya
Sasa hali hii inahalalisha viongozi wa Chadema na wanasiasa wengineo kuweka mbele maslahi ya chama zaidi ya maslahi ya taifa?Mtazamo wangu ni kuwa Mbowe na Lema wanachokifanya ni kutokana na shinikizo la "Fear of Guiltiness" Iweje wadai kuwa uchungu na wana Arusha leo hii wakati wanaamini na kulalama kuwa waliuawa hawakutosheleza, kwamba wangelikufa watu wengi zaidi "ndio ingekuwa bomba"!!Kwa mtazamo wangu wapo mstari wa mbele kupinga muafaka huu wa wenyeji wa Arusha kwa kuogopa kuwa wakikubali ni kama kukiri kuwa maandamano na matokeo yake hayakuhitajika na hivyo kuathiri mtaji wao kisiasa.
 
Unadanganya sana madiwani wachache wachadema Arusha waliofikia mwafaka walikwenda kinyume na utaratibu,Waanarusha wanajua,taifa linajua na dunia inajua,haki haitendeki kwa kuinyonga haki
 
aha nape, unasema taifa kwanza? hivi mbona magamba yenu yanapotuibia hamsemi taifa kwanza? na posho vipi? we ddnt need madaraka sharing in arusha.haki inabidi itendeke walioua waende jela then uchaguzi ufanyike upya
 

Na furahi kuona kuwa kuna msemo ambao ukisemwa na mtu kama wewe au aina yako nikimaanisha Mwanaccm kwa walio wengi itaonekana kama ni KITUKO AMA DHIHAKA.

Ni UKWELI usiopingika CCM kama chama kwangu MIMI sijaona tatizo lake,lakini watendaji wa CCM walipokifikisha chama hiki,ni pachungu na pana tia shaka sana kuwa yahitaji watu ama timu mpya sana kukirudishia heshima yake kwa jamii.

Unachokisema wewe kama Mwananchi wa kawaida ni CHEMA NA HERI kwa Wana ARUSHA,lakini ni sumu kali iliyoundwa kwa muda mrefu sana kati ya watawala wa chama dhidi ya wananchi kwa kuwa na majibu yasiopendeza haswa wananchi wanapotaka majibu ya matatizo yao.Ilifika sehemu kiongozi anatamka kana kwamba jambo hilo au hicho kinachotafutwa kupewa ufumbuzi h,akiwezekani na wala hakina nafasi ya kutatuliwa hata kama kina faida kubwa kwa umma wa walio wengi.

Hatimae wananchi waamechoka na wanahitaji majibu na pale wanapogoma bahada ya kufika MWISHO,Wenye busara ndani ya chama cha mapinduzi wanapoamka na kusema sasa tutaenda na njia ya wananchi,bado kwa kuwa wananchi wamefikisha point of n return vitu,vyote sasa vikifikishwa ndani ya ukweli vinageukwa na kuwa si kweli.Kwa kuwa dhamila ya awali ilikuwa kweli IKADHIHAKIWA,basi kinachofuata hata kama ni DHAMILA YA KWELI,walipofikiswa wanaona ni DHIHAKA na mcholesho kama vijana waa siku hizi wanavyosema.

Ikifika hapo swala la maendeleo linakuwa ni simulizi na hekaya za ABUNUASI.Kwa kuwa kinachofuata nani zaidi kwa kuwa aliyeanza,anayefuata anamailiza.

Chama cha CCM,si na wala kamwe aikutakiwa wala kufikilika kama Taasisi ambayo ingetokea hata siku moja, kuwa ama kama Taasisi ya au kupitia mtendaji wake kudiliki KUDHIHAKA au KUPOTOSHA ama VINGINEVYO vyovyote KUHUJUMU au KUDUMAZA jambo lolote lile linalohusu ustawi wa maendeleo yoyote ya umma au raia wa Nchi hii,popote pale ndani ya Jamhuri yetu ya Muungano.

Lakini leo hii Chama hiki KIMELAUMIWA,KIMETUHUMIWA na KUSAKAMWA kwa mengi yenye kila picha ya uovu wa kutowatendea haki wale kinachowaongoza.Hivyo basi inapelekea hata mtendaji wake yoyote atakapo tetea ukweli bado jamii itachukulia ni yaleyale na uzushi ule ule wa kila siku.Nape bado safari ni ndefu hayo uliyosema ISIWE BEZO AU DHIHAKI ILELILE WANANCHI WNAYOPINGANA NAYO.

Kwa msemo mwingine maneno hayo yasiwe ndio yale yaliyokifikisha chama hicho hapo kilipo.Amini yakitoka MOYONI,basi hakika CCM yaelekea kupona kikombe hiki,lakini yasiwe BEZO kama jna kama Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…