Nchi isipotii amri ya viongozi wake kufika Mahakama ya Kimataifa ya ICC, huchukuliwa hatua gani kulazimisha?

Mbona unalia mkuu?
Mkuu,

Siwezi lia hicho unachokihitaji kinasutwa na utamaduni wa Mtanzania halisia labda wale 4G kutokana na utandawazi

Laiti ingekuwa unasemea kwa nchi nyinginezo hapo ungeeleweka vizuri tu bila tashwishwi.

Takwa hilo unalolitamani litokee ni kama kushika bunduki unajielekezea mtutu kwako sasa sijui kama umejitoa ufahamu pindi ikifyatuka kinyume na ulivyohitaji ielekee. Ni hilo tu mpiganaji
 
Tambua mkuu bila kupata usaidizi Jiwe hataachia madaraka mkuu, muda ni mwalimu mzuri
 
Watatumwa wale wasiojulikana watashuka ubalozini mwao hapa nchini kumsaka mhalifu wao

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…