D Daisam JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 2,622 Reaction score 3,147 Apr 27, 2023 #1 Tanzania inatafunwa kwa kasi ya ajabu, lakini viongozi wa Dini wapo kimya wakisubiri SADAKA na mialiko ya kwenda IKULU kufaidi mema ya Nchi.
Tanzania inatafunwa kwa kasi ya ajabu, lakini viongozi wa Dini wapo kimya wakisubiri SADAKA na mialiko ya kwenda IKULU kufaidi mema ya Nchi.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Apr 27, 2023 #2 Dini gani?
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,880 Reaction score 13,938 Apr 27, 2023 #3 Dini ni taasisi inayosajiliwa na serikali Sasa ulitaka waseme nini au ulitaka wasemaeje??
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,288 Reaction score 40,911 Apr 27, 2023 #4 Wengi wao ni sehemu ya wanufaika wa Pesa hizo za Wizi kwenye sehemu zao za Ibada,wanasiasa wanazitakatisha Kwa kivuli Cha misaada,harambee etc...... ndiyo maana hawawezi kukemea
Wengi wao ni sehemu ya wanufaika wa Pesa hizo za Wizi kwenye sehemu zao za Ibada,wanasiasa wanazitakatisha Kwa kivuli Cha misaada,harambee etc...... ndiyo maana hawawezi kukemea
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,479 Reaction score 40,122 Apr 27, 2023 #5 Daisam said: Tanzania inatafunwa kwa kasi ya ajabu, lakini viongozi wa Dini wapo kimya wakisubiri SADAKA na mialiko ya kwenda IKULU kufaidi mema ya Nchi. Click to expand... Wanazawadiwa magari na hao wanaopiga unategemea nini hapo
Daisam said: Tanzania inatafunwa kwa kasi ya ajabu, lakini viongozi wa Dini wapo kimya wakisubiri SADAKA na mialiko ya kwenda IKULU kufaidi mema ya Nchi. Click to expand... Wanazawadiwa magari na hao wanaopiga unategemea nini hapo
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,615 Reaction score 14,101 Apr 27, 2023 #6 Huwezi kuwapigania wajinga kama watanzania maana kwao wezi ni desturi usipo iba wanakuona mjinga
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,369 Reaction score 14,956 Apr 27, 2023 #7 balimar said: Dini ni taasisi inayosajiliwa na serikali Sasa ulitaka waseme nini au ulitaka wasemaeje?? Click to expand... Wasemeje!!?-- kwani hao viongozi wa dini hawana midomo ya kusemea?!, Waseme tu; nchi inatafunwa, inatosha.
balimar said: Dini ni taasisi inayosajiliwa na serikali Sasa ulitaka waseme nini au ulitaka wasemaeje?? Click to expand... Wasemeje!!?-- kwani hao viongozi wa dini hawana midomo ya kusemea?!, Waseme tu; nchi inatafunwa, inatosha.