Awali ilikua nikiangalia taarifa ya Habari ni majanga tu kuhusu machafuko/vita/mauaji ya kimbari/ugaidi etc; sasa hivi naona kibao kimetugeukia, jana niliangalia taarifa ya habari ITV
- Wafanyabiashara Wanalalamikia EFD/maduka yamefungwa karibu nchi nzima
- Wakulima Wanalalamika Bei Ndogo ya Korosho/Pamba etc
- Wasafirishaji wanagomea kushushwa kwa nauli-Songea
- Wananchi wanalalamika umeme bei juu na wengi wamewasha taa kwa nusu mwezi tu (giza nyumba nyingi) na Guest/Lodge/Hotel vyumba vimepanda bei
- Mafuriko/Barabara zimekatika kuunganisha mikoa ya Kaskazini
- ........................................................
Je Nchi Imesimama?