Nchi imepitia mengi hii

Hiyo pesa ya dhambi wangetumia hata kujengea vyoo tu mungu angewaelewa
 
C& p

Nchi imepitia mengi hii
Moja ya scandal ya ovyo ya kitapeli kuwahi kutokea TZ.

Waliochukua pesa kupitia STANBIC BANK hawajawahi kujulikana.

Kikwete na genge lake la kina SINGASINGA wanaendelea kupiga nchi.


Tumekomaa na pesa za RUGEMARILA ambaye alilipwa kama mgawo wake wa hisa, akaweka pesa zake Mkombozi Bank.


Maana yake, tunaujua mgawo wa RUGEMARILA kwasababu akiuweka Mkombozi Bank.

Walioweka bank nyingine wako wapi???

Nitu SINGASINGA mpaka.M leo bado linadai pesa na siku ya kuchangia CCM, Bilioni 10 lilikuwepo MLIMANI CITY.
 
Walirudisha baada ya kuona jumba bovu linawaangukia
Mwingine hata ningekuwa mimi nisingerudisha hata kumi,mtu ana biashara zake unathibitisha vipi alizonipa mimi ndizo alizokuibia hakuzitoa kwenye faida ya biashara zake?
 
akaunti binafsi?

kaka acha hizo
Kwani maaskofu na mapadri hawapewi zawadi binafsi? Zawadi itakuwa haramu kama wana uhakika fedha zimepatikana kwa njia mbovu au zina lengo bovu kama anavyofanya Samia. Amejaribu kuhonga maaskofu wengi fedha ili wasione mabaya yake lakini imeshindikana. NB: UNA BAHATI SANA LEO MTU KAMA MIMI KU-RESPOND POST YAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…