thomasankara
Member
- Jun 7, 2026
- 22
- 33
Uko sawa ndugu. Sasa niseme nini kwa hali halisi inatukabili."TUMUOMBE MUNGU ATUNUSURU"
Huu msemo ndio umelifikisha taifa hapo
Kumbe tatizo sio Samia, tatizo kuu ni wayahudi sio!!Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli. Samia kiitikadi ni mbinafsi mpenda kujilimbikizia mali kwake na jamaa zake, mwenye upendeleo wa jamaa zake 'nepotism' Nchi ilipata bahati mbaya sana kumpoteza Magufuli baada ya kutumikia mhula mmoja tu.
Kwa kukosa maarifa sasa tunapokea uwekezaji toka popote. Nchi zingine kama Israel ni hatari uwekezaji zao maana wanalenga kujitajiri wao na kuwazuia umma wa wenyeji msiendelee.
Hilo sio siri. Nchi kama UAE tayari zimetekwa na Israel zikija kuwekeza huku Afrika ni sawa ni mayahudi wenyewe wamekuja kuwekeza. Inahitaji umakini mkubwa na uzalendo mkubwa kudhibiti uwekezaji wa mayahudi.
Viongozi wapenda rushwa na wabinafsi hawataweza kumudu wawekezaji hatari na mwisho taifa litatoka kwenye misingi ya ujamaa na kujitegemea na tutasambaratika kama Sudan na yale tunaona Congo na Rwanda.
Tutaanza kupigana wenyewe. Dalili tayari zinaonekana. Majasusi wa kigeni wapo wengi kutuvuruga.
TUMUOMBE MUNGU ATUNUSURU
Na nyie wafuasi wa Magufuli, kila kitu mnataka kutuaminisha Magufuli alikuwa na akili sana na mzalendo sana. Kiongozi mzuri haharibu mifumo ya utawala bora na yeye kujigeuza Mungu mtu.Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli. Samia kiitikadi ni mbinafsi mpenda kujilimbikizia mali kwake na jamaa zake, mwenye upendeleo wa jamaa zake 'nepotism' Nchi ilipata bahati mbaya sana kumpoteza Magufuli baada ya kutumikia mhula mmoja tu.
Kwa kukosa maarifa sasa tunapokea uwekezaji toka popote. Nchi zingine kama Israel ni hatari uwekezaji zao maana wanalenga kujitajiri wao na kuwazuia umma wa wenyeji msiendelee.
Hilo sio siri. Nchi kama UAE tayari zimetekwa na Israel zikija kuwekeza huku Afrika ni sawa ni mayahudi wenyewe wamekuja kuwekeza. Inahitaji umakini mkubwa na uzalendo mkubwa kudhibiti uwekezaji wa mayahudi.
Viongozi wapenda rushwa na wabinafsi hawataweza kumudu wawekezaji hatari na mwisho taifa litatoka kwenye misingi ya ujamaa na kujitegemea na tutasambaratika kama Sudan na yale tunaona Congo na Rwanda.
Tutaanza kupigana wenyewe. Dalili tayari zinaonekana. Majasusi wa kigeni wapo wengi kutuvuruga.
TUMUOMBE MUNGU ATUNUSURU
Wanatunza "regase"!Na nyie wafuasi wa Magufuli, kila kitu mnataka kutuaminisha Magufuli alikuwa na akili sana na mzalendo sana. Kiongozi mzuri haharibu mifumo ya utawala bora na yeye kujigeuza Mungu mtu.
Aisee!Dalili tayari zinaonekana. Majasusi wa kigeni wapo wengi kutuvuruga.
Magufuli alisimamia haki na sheria kwa ukakamavu na kuongoza serikali imara. Fisadi na dhulumati wanapenda kuwepo serikali corrupt na legelege yenye kutoa mwanya kwa fisadi na dhulumati kutumia uwezo wao wa fedha kununua haki.Na nyie wafuasi wa Magufuli, kila kitu mnataka kutuaminisha Magufuli alikuwa na akili sana na mzalendo sana. Kiongozi mzuri haharibu mifumo ya utawala bora na yeye kujigeuza Mungu mtu.
Hakusimamia haki wala sheria, bali alitumia cheo chake kufanya atakavyo. Kuna sehemu alipatia na kuna sehemu alikosea. Hata hivyo nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais, bali sheria na katiba. Na kuna ushahidi mwingi tu hakuwa mfuata sheria wala katiba pindi alipokuwa na jambo anataka sifa, na sheria na katiba ikimkataza.Magufuli alisimamia haki na sheria kwa ukakamavu na kuongoza serikali imara. Fisadi na dhulumati wanapenda kuwepo serikali corrupt na legelege yenye kutoa mwanya kwa fisadi na dhulumati kutumia uwezo wao wa fedha kununua haki.
Umejibu vyema sana tena unaonesha unauelewa mkubwa sana wa mambo ya kisiasa, kumbuka kila binadamu ana pande mbili uzuri na ubaya. Ni vyema ungeyataja mazuri na baya ya JPM ili msomaji ahitimishe mwenyewe kwa kutoa hukumu kuwa alikuwa ni mzuri au mbaya. Kumbuka historia ya mtu ndio inamtumbulisha mtu hata kwa wale waliokuwa hawamfahamu. Mfano kuna watu tulikuwa hatumjui Mwl. Nyerere ila tumemjua kupitia historia.Hakusimamia haki wala sheria, bali alitumia cheo chake kufanya atakavyo. Kuna sehemu alipatia na kuna sehemu alikosea. Hata hivyo nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais, bali sheria na katiba. Na kuna ushahidi mwingi tu hakuwa mfuata sheria wala katiba pindi alipokuwa na jambo anataka sifa, na sheria na katiba ikimkataza.
Nasisitiza Magufuli alikua anazingatia sana katiba na sheria. Wasiopenda haki hawakumpenda kwa wao kutaka kutumia sheria kuepa haki au kufanya biashara ya kuuza haki kupitia sheria.Hakusimamia haki wala sheria, bali alitumia cheo chake kufanya atakavyo. Kuna sehemu alipatia na kuna sehemu alikosea. Hata hivyo nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais, bali sheria na katiba. Na kuna ushahidi mwingi tu hakuwa mfuata sheria wala katiba pindi alipokuwa na jambo anataka sifa, na sheria na katiba ikimkataza.
Wacha bwana!!!Mungu anaweza ingilia kati
Kuna mambo ambayo sikubaliani na wewe japo mengi uko sawa:Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli. Samia kiitikadi ni mbinafsi mpenda kujilimbikizia mali kwake na jamaa zake, mwenye upendeleo wa jamaa zake 'nepotism' Nchi ilipata bahati mbaya sana kumpoteza Magufuli baada ya kutumikia mhula mmoja tu.