Nchi hii kwa kauli mbiu.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi hii kwa kauli mbiu.....!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Jun 7, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...............Nchi kwa kauli mbiu zinazoleta matumaini lakini zisizotendewa kazi inaongoza...baada ya kauli mbiu kama...


  • Kasi mpya na ari..
  • Maisha bora kwa kila mtanzania...
  • Kilimo kwanza....
  • kasi ileile na ari ileile....
  Sasa katika miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika wamekuja na kauli mbiu "TUMETHUBUTU,TUNAWEZA NA TUNASONGA MBELE" ni kauli mbiu zilezile ambazo hazina tija kwa taifa letu....
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo siasa full propaganda bora u win mawazo ya mpiga kura, lakini mwisho wa siku ukiondoa fitna na uchakachuaji mwananchi anajua yupi mkweli yupi muongo.
   
 3. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Hilo ndo jambo tulilofanikiwa hadi sasa. Kila kukicha ni misemo na maneno ya kupeana moyo. Mbona tumeshindwa kuthubutu kuwawajibisha kina RACHEL hadi sasa wanapeta tu. Yu wapi hayati Mwl. Nyerere jamani?
   
 4. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,559
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Kwenye kilimo ndo noma,kulikuwa na "kilimo cha kufa na kupona" siasa ni kilimo...kilimo ni uti wa mgongo na sasa wana kilimo kwanza
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wakenya utawasikia wakisema

  tanzania iko maneno miiingii

  ndo kama hivyo?
   
 6. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  ''Tulifurahi pamoja tukahuzunika pamoja tusonge mbele pamoja''.by E.N.LOWASSA.
   
 7. g

  gambatoto Senior Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana hujui maana ya propaganda. This is Tanzania bwanaaaaaaaaaaaaaa.....
   
Loading...