Nchi hii ilikuwa na mambo ya hovyo: JK anajisikiaje

Kama ilikuwa hovyo hao ambao leo ndiyo watawala kwa nini nao walikuwemo katika serikali hiyo? Kwa nini hawakutaa teuzi kila baraza jipya lilipokuwa likiundwa?, kwa nini hawakujiuzuru nafasi zao mbalimbali?
Kikwete alikuwa team captain, kama timu ilifungwa mlifungwa nyote, huwezi kujivua lawama kama kwamba na wewe huhusiki wakati labda na wewe ulikuwa ukihudhuria vikao vya baraza la mawaziri
 
Huyu mheshimiwa raisi ni noma, jamaa hatanii hata kidogo. Jamaa hauwezi kumbeep,ukibeep yeye anapiga duh. Sasa naona watumishi wa umma heshima itarudi. Bibi kakosea kidogo tu, kusema hakuna wafanyakazi hewa, jamaa kanusa nusa kawaona ,bibi nje. Aisee, nawashauri wafanyakazi wa umma, ule mtindo wa kuchukua mkopo kutegemea mshahara muache,inaweza kuleta balaa kwa mpango huu.
 
JPM amekuwa akisisitiza kuwa nchi hii ilikuwa na mambo ya hovyo kabisa. Meaning system nzima ilikuwa hovyo kabisa. Nani mkuu wa system ya hovyo, JK, hivyo head of the system alikuwa wa hovyo. And the proceeds from hovyo system are also hovyo.

Ndiyo maana watu wanasema Kikwete ahukumiwe na kunyongwa. I support them.
 
watu waliopo sasa na jana ni wale wale; magu anarekebisha tabia mbovu za wizi wizi ambazo watu walikua wanazipenda.
 
nyie ndio mlikuwa mnasifia JK mpaka dakika ya mwisho binadamu hana shukrani hata Magu siku akiondoka mtasema alikuwa dikteta.watanzania ni kama makondoo flani hivi yanayoenda kuchinjwa kazi kuitikia corus tu ila mashairi ya wimbo hayajui
 
Kama ilikuwa hovyo hao ambao leo ndiyo watawala kwa nini nao walikuwemo katika serikali hiyo? Kwa nini hawakutaa teuzi kila baraza jipya lilipokuwa likiundwa?, kwa nini hawakujiuzuru nafasi zao mbalimbali?
Kikwete alikuwa team captain, kama timu ilifungwa mlifungwa nyote, huwezi kujivua lawama kama kwamba na wewe huhusiki wakati labda na wewe ulikuwa ukihudhuria vikao vya baraza la mawaziri

Tafakari mfano huu mdogo tu.
Baba ni mlevi kupindukia,
Watoto na mama mnajaribu kumshauri aache ulevi, lakini baba haelewi na wala hajali. Je, Utaondoka nyumbani kwa sababu baba amekuwa wa ovyo? au utaendelea kuishi hapo nyumbani ukiwa na malengo kuwa siku utabahatika kuwa na familia yako hutoruhusu mambo ya hovyo hovyo nyumbani kwako. Yawezekana Mawaziri walijitahidi kumshauri Kikwete lakini akawapuuza. Hivyo wasingeweza kujiondoa ila walivumilia huku baadhi wakiomba siku wakibahatika kuwa watawala hawatafanya mambo ya hovyo hovyo kama kikwete. Ndo maana unasikia Mh. Rais akisema kulikuwa na Mambo ya hovyo
 
nyie ndio mlikuwa mnasifia JK mpaka dakika ya mwisho binadamu hana shukrani hata Magu siku akiondoka mtasema alikuwa dikteta.watanzania ni kama makondoo flani hivi yanayoenda kuchinjwa kazi kuitikia corus tu ila mashairi ya wimbo hayajui

Wewe siyo Mtanzania??
 
Back
Top Bottom