moneymakerman Senior Member Joined Jan 20, 2014 Posts 102 Reaction score 247 Feb 20, 2024 #2 Akili pia zimeadimika.
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,457 Reaction score 13,806 Feb 20, 2024 #3 • Tungekuwa na Rais, baadhi ya mambo yangeenda vizuri.. • Mwendazake aliharibu sana mambo hapa Tz 🤒🤒
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,904 Reaction score 5,763 Feb 20, 2024 #4 Utakuta hata Mr Rais nae hajui afanyeje.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,545 Reaction score 105,286 Feb 20, 2024 #5 Iposiku tutakosa hadi pumzi na tutakufa kifala sana
N Nunio JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 746 Reaction score 1,867 Feb 20, 2024 #6 Bado kidoooogo, hata wao wataendelea kuwa nazo ila hawana cha kununua!
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Feb 20, 2024 #7 Na ndoa njema za kudumu zimeadimika
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,297 Feb 20, 2024 #8 Inasikitisha sana
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,115 Reaction score 18,007 Feb 20, 2024 #9 Nyafwili said: • Aliye zungumzia vyeti fake nani??? • Ninacho mlaumu aliharibu kupeleka nyumbu pale bungeni.... Sijui umenielewa mwana FISI EMU. Click to expand... Kwa hiyo wangekuwepo hao wa upinzani sukari isingeadimika na kusingekuwa na mgao wa umeme? Hivi unafahamu toka vyama vingi vinaasisiwe 1992 hakuna mswada wowote ulipelekwa bungeni ukakwama sababu ya uwepo wa wapinzani. Hata ungepelekwa mswada wa kufuta multiparty ungepita huku wakiwemo. Mnatumia viungo gani kufikiri?
Nyafwili said: • Aliye zungumzia vyeti fake nani??? • Ninacho mlaumu aliharibu kupeleka nyumbu pale bungeni.... Sijui umenielewa mwana FISI EMU. Click to expand... Kwa hiyo wangekuwepo hao wa upinzani sukari isingeadimika na kusingekuwa na mgao wa umeme? Hivi unafahamu toka vyama vingi vinaasisiwe 1992 hakuna mswada wowote ulipelekwa bungeni ukakwama sababu ya uwepo wa wapinzani. Hata ungepelekwa mswada wa kufuta multiparty ungepita huku wakiwemo. Mnatumia viungo gani kufikiri?