Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani.
Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka hata nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa kuwa na njaa kali sana ya kuzishambulia fursa.
1. India
2. Nigeria
3. China
4. Pakistan
5. Indonesia
6. Phillipines
7. Mexico