Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Hyo India naomba ufafanuzi kidogo mkuu
 
Hong Kong visa on arrival ila kwa mwenendo wa watz wenzetu naona kabisa ikifutwa.
 
Wana JF katika kuelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ kuwa na Habari/TAARIFA ni sawa na kuwa na nguvu KUBWA.

Maranyingi Watanzania hatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu.

Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizi ni BAADHI ya nchi ambazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival/Wanapowasili. Nchi hizo. ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azerbaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Bermuda
7.Barbados
8.Bangladesh
9.Botswana
11.Burundi
12.Bahamas
13.Belize
14.Barbuda.
15.Bolivia
16.Cambodia
17.Cayman Island(siku 60 bila visa)
18.Cape Verde
19.Comoros
20.Cook Island(miezi 6)
21.Djibouti
22.Dominican Republic(miezi 6 bila visa)
23.Ethiopia
24.Equador(miezi 3 bila visa)
25.Egypt**
26.Fiji
27.Grenada
28.Gambia
29.Guinea
30.Georgia(miezi 3 bila visa)
31.Haiti(miezi 3 bila visa)
32.Hong kong
33.Jamaica
34.Jordan
35.Kenya
36.Kosovo
37.Laos
38.Lebanon
39.Lesotho
40.Libya*
41.Liberia
42.Macau
43.Montserrat(miezi 3 bila visa)
44.Saint Lucia
45.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
46.Zambia(miezi 3 bila visa)
47.Uganda(miezi 3 bila visa)
48.Swaziland
49.South Africa
50.Rwanda
51.Namibia
52.Mozambique
53.Mauritius
54.Mali
55.Malawi
56.Madagascar
57.Guinea Bissau
58.D.R.C(siku 7)
59.Philipines(siku 30 mpaka 59)
60.Tuvalu
61.Samoa(siku 60)
62.Niue-nchi za Oceania
63.Micronesia
64.Indonesia
65.Palau
66. Walilis and
67. Fatuna

Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…