Nchi 40 Maskini Sana Duniani, Tanzania yashika namba 28

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Licha ya Tanzania kuwa kati ya Nchi 10 zenye Pato kubwa la Taifa yaani GDP ambayo ni Dola Bilioni 75 ila haijasaidia kujiondoa kwenye kundi la Nchi ambazo raia wake ni maskini na mafukara.

Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni Kasi kubwa ya ongezeko la watu ikilinganishwa na ujuaji wa uchumi hivyo kuwa na kundi kubwa la wategemezi badala ya wazalishaji.

IMG_7884.jpeg

My Take: Bila kuendelea kuvutia Uwekezaji Kwa Kasi zaidi, umaskini utaendelea kuwa chanda na Pete Kwa Watanzania.

Wewe ni mpuuzi sana, akili zako na kiongozi wetu mjinga mmeziwekeza kwenye uwekezaji pekee, bila hata kutazama madhara ya uwekezaji huo kwa taifa mnaposaini mikataba ya hovyo kama wa bandari unaotutweza.

Kwa ujinga wenu sasa mnaupa uwekezaji nafasi kubwa zaidi ya kuheshimu na kulinda utu wa mtanganyika, pamoja na mipaka ya ardhi yake, wacheni ujinga wenu.
 
Licha ya Tanzania kuwa kati ya Nchi 10 Zenye Pato kubwa la Taifa yaani GDP ambayo ni Dola Bilioni 75 ila haijasaidia kujiondoa kwenye kundi la Nchi ambazo raia wake ni maskini na mafukara..

Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni Kasi kubwa ya Ongezeko la watu vs ujuaji wa uchumi hivyo kuwa na kundi kuubwa la wategemezi badala ya wazalishaji.

My Take
Bila kuendelea kuvutia Uwekezaji Kwa Kasi zaidi ,umaskini utaendelea kuwa chanda na Pete Kwa Watanzania.

Huu ni upumbavu Yani hata Burundi kanchi kenye population ndogo kulinganisha na Tz kanchi hakana Bandari kametuzidi!!??
Jamani natoa wito tuwatoe fisiemu madarakani hawatufai hawa 2025 tuweke chama kingine madarakani
 
Wahi mirembe ukapatiwe tiba ya Afya ya akili
Chizi anamshauri mwerevu awahi kupatiwa tiba ya afya ya akili, sikushangai ndio upeo wako ulipoishia.

Najua wale machizi kule barabarani wakitutazama tunaojielewa, huwa wanatuona sisi ndio machizi zaidi yao.
 
Licha ya Tanzania kuwa kati ya Nchi 10 Zenye Pato kubwa la Taifa yaani GDP ambayo ni Dola Bilioni 75 ila haijasaidia kujiondoa kwenye kundi la Nchi ambazo raia wake ni maskini na mafukara..

Miongoni mwa sababu zinazotajwa ni Kasi kubwa ya Ongezeko la watu vs ujuaji wa uchumi hivyo kuwa na kundi kuubwa la wategemezi badala ya wazalishaji.

My Take
Bila kuendelea kuvutia Uwekezaji Kwa Kasi zaidi ,umaskini utaendelea kuwa chanda na Pete Kwa Watanzania.
Tuna miaka mingi kidogo tokea tulivyo anzisha sera za uwekezaji na ubinafsishaji, lakini bado takwimu za umaskini ni kubwa baina yetu.

Unadhani huu uwekezaji tunapigania unaweza kuwa na utofauti na ule uliotufikisha hapa tulipo?
 
Huu ni upumbavu Yani hata Burundi kanchi kenye population ndogo kulinganisha na Tz kanchi hakana Bandari kametuzidi!!??
Jamani natoa wito tuwatoe fisiemu madarakani hawatufai hawa 2025 tuweke chama kingine madarakani
Ukubwa na udogo vinahusianaje na akili,maarifa na uwezo wa uchumi?

Wala usieende mbali kwani wewe huoni Tanzania Ina makocha wengi wa Kirundi?
 
Tuna miaka mingi kidogo tokea tulivyo anzisha sera za uwekezaji na ubinafsishaji, lakini bado takwimu za umaskini ni kubwa baina yetu.

Unadhani huu uwekezaji tunapigania unaweza kuwa na utofauti na ule uliotufikisha hapa tulipo?
Sera za mdomoni bila kuweka mazingira ya kuwavutia hao wawekezaji mtaishia kuomba hivyo hivyo na jinsi Nchi imejaa watu waoga na kuona Kila mwekezaji ni mwizi ngoja tuendelee na mambo ya kutiana maana ndio tunayaweza.
 
sisi tunaotembea kila kona Tanzania ndio tunaelewa kuwa hii nchi masikini kwelikweli na inahitaji kazi kweli kweli kuiweka sawa.

Ili umalize umasikini wa Tanzania unapaswa kwanza kuiweka pembeni CCM na kuhakikisha Taifa linaacha kuwa na viongozi wafanya mizaha kama ilivyo sasa.
 
Harafu kije chama gani?
 
Huu ni upumbavu Yani hata Burundi kanchi kenye population ndogo kulinganisha na Tz kanchi hakana Bandari kametuzidi!!??
Jamani natoa wito tuwatoe fisiemu madarakani hawatufai hawa 2025 tuweke chama kingine madarakani
Hashimu Rungwe in
 
Tungekuwa serious kama nchi ingetosha sasa tufanye mabadiliko maana uchizi ni kufanya jambo lilelile kwa watu walewale na kutegemea jibu tofauti...
 
Back
Top Bottom